Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Wacha weeeee utakuwa ni Chibe Chibindu eti .....Pumbavu 90% ya Wachezaji wa Kitanzania ( Wazawa ) ni Marafiki na Wadogo zangu na wengine wakiwa Wadogo walishanishuhudia nikikipiga hivyo nikisema Jambo la Kimpira niamini 100% sawa?
Aliyekuambia kuwa Kipa Juma Kaseja ni Masikini na ana Njaa kama Mimi na Wewe kakudanganya sana.Muacheni Kaseja naye apate ugali KMC wamemtema mnataka afe njaa anayo familia inamtegemea.
Alafu mpeni heshima anayostahili msijizime data Juma kafanya mengi kwenye mpira.
Majina halisi ( ya RITA na NIDA ) naitwa Omary Bahari Kibua ni Mzanzibari kutoka hapa Nungwi Pemba na hapa JamiiForums natumia hii ID ya MINOCYCLINE.Wacha weeeee utakuwa ni Chibe Chibindu eti .....
Hivi katundiga ndaluga lini? Sijasikia atangaze, au huku bongo huwa hawatangazi kama sehemu zingine?
Karai na Tifuatifua hao, usiulize zaidi. Pro Makolo issue.Hebu ngoja kwanza...
Kwamba Kaseja kapewa dili la kunoa makipa wa Stars?
ππ
Na Kaseja na Mecky ni Marafiki wazuri tu tokea walipokuwa pamoja Mkoani Morogoro na ndiyo maana hata Nyumba zao huko Morogoro wamejenga sehemu moja.
Comment bora sana hiisafi sana iyo,waunganishe uchawi wao kisha wamroge kipa wa Uganda kwenye marudiano mpira ukifika golini aone manyota nyota.
Ingepenza zaidi waunganishe uchawi tuone maajabu
Haja stafu ila mkataba wake na KMC uliishia hakuongezewa muda na hakupata timuHivi Kaseja amestaafu au bado anacheza?
Hicho hakiwezi kuwa kigezo cha kumnyima nafasi kochaWawili hao ( hawa ) hawapatani kabisa kutokana na Kutuhumiana Kurogana ( Uchawi ) na sijui sasa itakuwaje huko Kambini.
Msaidizi wake Nsajigwa alishaanza Kumvutisha Bange na kaanza kuwa Mswahili Mswahili hivi.Yule kocha aliyetimuliwa nilimuona ni chizi.
Uwezi kuita kwenye timu ya Taifa magolikipa Manula na Kakolonya ambao wote ni magolikipa kwenye timu ya Simba, sijui kama akili zake ziko vizuri.
Huna Akili Aishi Manula sasa ndiyo Nahodha wa Taifa Stars hivi unadhani kwa kupelekewa Adui yake Mkuu Juma Kaseja kutakuwepo na Ufanisi? Kwa hili TFF nawalaumu kwani hata kama Watawapatanisha ila Wawili hawa kwa tunaowajua na kuwa nao mara kwa mara ni Watu wasiova ( wasiopendana ) kabisa.Hicho hakiwezi kuwa kigezo cha kumnyima nafasi kocha
Tutafika kweli?! πππKMC wamemtema na sasa ndiyo Wakala Mkuu pamoja na Rafiki yake mkubwa Musa Hassan Mgosi a.k.a Komando kuwapeleka Wachezaji Wazawa na baadhi wa Kigeni kwa Waganga wa Kienyeji Tanga na Kigoma kuroga ili wasikose namba katika Vilabu vyao.
Sio lazima kila tukio ulianzishie mada, ni dalili za ukosefu wa kufikiria mambo hata kabla ya matukio.Huna Akili Aishi Manula sasa ndiyo Nahodha wa Taifa Stars hivi unadhani kwa kupelekewa Adui yake Mkuu Juma Kaseja kutakuwepo na Ufanisi? Kwa hili TFF nawalaumu kwani hata kama Watawapatanisha ila Wawili hawa kwa tunaowajua na kuwa nao mara kwa mara ni Watu wasiova ( wasiopendana ) kabisa.
Tumeshachelewa.Tutafika kweli?! πππ
Kumbe nungwi iko pembaMajina halisi ( ya RITA na NIDA ) naitwa Omary Bahari Kibua ni Mzanzibari kutoka hapa Nungwi Pemba na hapa JamiiForums natumia hii ID ya MINOCYCLINE.