TFF Kuruhusu Siasa Michezoni ni Ushamba wa Hali ya Juu

Mlivyomuitaga Magufuli alikuwa mwanamieleka SI ndio....
Kumuita Jk sio hoja kama ilivyokuwa kuitwa Magufuli. Nashindwa kuelewa mantiki ndogo hivi mnashindwa kuelewa.
Tatizo lipo kwenye kuingilia muda wa mchezo, yale ya Magu yaliruhusiwa baada ya mchezo kwisha hivyo sherehe hizo haziko ndani ya muda wa Kamisaa kutolea ripoti yake. Kanuni za FIFA muda wote wa mchezo mkuu wa yote ni Kamisaa, sasa wachezaji wako uwanjani JK anaingia kuhutubia dakika 17 hiyo sio sawa
 
Karipoti fifa ... Ukiona shida sana kunya nanasi
 
Mdomo wako uwe nakiasi usipende kuropoka ropoka, usije ukajiingiza kwenye matatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…