TFF mnasubiri nini, haya makosa ya kibinadamu hutokea tu Simba wanapocheza?

Timu zinazobebwa mechi za kimataifa huishia makundi
Mlivyofungwa na Tabora, na Simba mlitegemea atafungwa😀😀😀
 
Timu zinazobebwa mechi za kimataifa huishia makundi
Mlivyofungwa na Tabora, na Simba mlitegemea atafungwa😀😀😀
Sisi tumeshachoka na kuzoea kuona namna mbeleko unavyobebwa mgongoni

March 8 sio mbali
 
Kunya anye kuku akinya bata kaharisha
 
Sisi tumeshachoka na kuzoea kuona namna mbeleko unavyobebwa mgongoni

March 8 sio mbali
Kipindi mko CAF champion league. Kulikuwa hakuna umbeya huu.
Ila sasa hivi, hamna kazi wala mechi za kimataifa. Mnaanza kupiga soga kwenye vijiwe vya kahawa😀😀😀
 
Hoja kuita mashindano ya CAF confederation ya kina mama? Maana sijaona upuuzi zaidi ya huo.
Hili jambo mlianzisha wenyewe wakati yanga wanashiriki lazima mle maharishi yenu hakuna kuyatema

Nakumbuka ukiwemo wewe hapo ulikuwa unapayuka sana kipindi kile?
 
Kipindi mko CAF champion league. Kulikuwa hakuna umbeya huu.
Ila sasa hivi, hamna kazi wala mechi za kimataifa. Mnaanza kupiga soga kwenye vijiwe vya kahawa😀😀😀
Ongezea ni caf champions league

Na nyie mmebaki huko shirikisho na kina coastal walikuwa huko huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…