Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
I salute you kinsmen
Hivi sasa imekuwa too much kwa ligi yetu ambayo inazidi kupanda ubora ila sasa wahuni wachache wakiongozwa na TFF na klabu yao ya simba wanatia kinyaa sana
Nadhani msimu huu TFF wameamua wazi kwamba simba wachukue kombe watake wasitake..!
Kama umefuatilia hii ni mechi zaidi ta 12 ila kila mechi basi kunakuwa na makosa ya kibinadamu yanayo wafavour hawa simba. Mfano mechi na Tabora ilikuwa ni kichekesho kikubwa sana mpaka unaona aibu.
Kuna jamaa wa simba pembeni yangu yeye mwenyewe hajufurahishwa na ushindi huo wa "gusa weka bahasha tushinde"
Kwanini kila simba wanapocheza basi TFF na bodi ya ligi huweka marefa weak na walafi wa Rushwa?
Tusipoangalia basi ligi yetu itashuka mpaka nafasi ya 20 huko sababu simba ndiyo wanataka kuididimiza ligi ishuke kuwa ya kawaida matopeni tena.