TFF, mpaka leo hii tukio la Gamondi kumpiga kiongozi wa Singida Black Stars hakuna hatua zozote wala uchunguzi. Kuna nini?

The headed empty sets, ukiona tu siku flani Yanga SC wana mechi lazima uwashwe washwe kuitafutia makosa, mbona klabu lako la Makolokolo hujawahi kulielezea jinsi linavyobebwabebwa na Marefa kushinda mechi zake?
 
Mbona tukio la Hamza kumfanyia madhambi Dube bila kadi nyekundu ulikaa kimya na tff ikakaa kimya??
 
The headed empty sets, ukiona tu siku flani Yanga SC wana mechi lazima uwashwe washwe kuitafutia makosa, mbona klabu lako la Makolokolo hujawahi kulielezea jinsi linavyobebwabebwa na Marefa kushinda mechi zake?
Kila nikiangalia ulichoandika unaonyesha unasumbuliwa na msongo wa mawazo kutokana na magonjwa ya zinaa na vidonda vya tumbo ushauri wa daktari koroga pilipili unywe huu mchezo hautaki hasira wahuni hawaruhusiwi michezoni!
 
Sina jazba wewe ndio unaeandika kwa kutetemeka kwa hasira huu mchezo hautaki hasira!
Hasira za Nini mie wakati wewe umenipa mara 4 hadi unaleta maelezo mengi kuhusu masta gamondi πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…