TFF mpelekeni Mwamposa Taifa Akatakase Uwanja

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Japo wengi watabisha lakini ukweli utasimama,yaonyesha wazi uwanja wa taifa/Mkapa Stadium umeharibiwa kwa nguvu za giza hasa goli la kusini mwa uwanja na hujuma hii ni wazi imefanywa na moja ya klabu kongwe ya mpira wa miguu hapa nchini.

Ushahidi umeonekana mechi ya leo kati ya Yanga na Zalan,wachezaji wa yanga karibu wote wamekosa magoli ya wazi kabisa ambayo wote tumeshangaa na hata wachezaji husika wote walibaki midomo wazi!

Mwanzoni tuliwalaumu wachezaji..lkn baada ya mapumziko hali ikabadilika wachezaji wale wale wakaanza kuporomosha mvua ya magoli upande wa goli la kaskazini,na katika hali ya kushangaza straika wa Zalan naye akiwa yeye na kipa Msheli mpira wake uliokua ukielekea golini ukakosa muelekeo na kugonga bomba na kurudi uwanjani kama ilivyomtokea Aziz k kipindi cha kwanza,goli lile lile na angle ile ile..

Tuombe uongozi wa shirikisho wawasiliane na mtumishi Mwamposa afike pale uwanjani katika siku mbili hizi ili kuondoa janga hili na kulinda hadhi ya mashindano,atakase uwanja mzima na magoli na hasa upande wa goli la kusini hilo limeathirika sana pale amwage mafuta mengi ya upako,

Nawasilisha.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Dah ....timu yenyewe ZALANI...!

Mnaanzisha nyuzi Kibao...Je Mkiwafunga wamisri sijui itakuwaje
 
Hilo swala dogo yanga ndo wanatakiwa wakaondoe misekule yao maana wao ndo walianza kukaa upande ule kwenye mechi ya derby dhidi ya simba wazee wakuroga half time.
 
Japo wengi watabisha lakini ukweli utasimama,yaonyesha wazi uwanja wa taifa/Mkapa Stadium umeharibiwa kwa nguvu za giza hasa goli la kusini mwa uwanja na hujuma hii ni wazi imefanywa na moja ya klabu kongwe ya mpira wa miguu hapa nchini.

Ushahidi umeonekana mechi ya leo kati ya Yanga na Zalan,wachezaji wa yanga karibu wote wamekosa magoli ya wazi kabisa ambayo wote tumeshangaa na hata wachezaji husika wote walibaki midomo wazi!

Mwanzoni tuliwalaumu wachezaji..lkn baada ya mapumziko hali ikabadilika wachezaji wale wale wakaanza kuporomosha mvua ya magoli upande wa goli la kaskazini,na katika hali ya kushangaza straika wa Zalan naye akiwa yeye na kipa Msheli mpira wake uliokua ukielekea golini ukakosa muelekeo na kugonga bomba na kurudi uwanjani kama ilivyomtokea Aziz k kipindi cha kwanza,goli lile lile na angle ile ile..

Tuombe uongozi wa shirikisho wawasiliane na mtumishi Mwamposa afike pale uwanjani katika siku mbili hizi ili kuondoa janga hili na kulinda hadhi ya mashindano,atakase uwanja mzima na magoli na hasa upande wa goli la kusini hilo limeathirika sana pale amwage mafuta mengi ya upako,

Nawasilisha.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Imeandikwa "usimjaribu Bwana Mungu wako"
 
Dah ....timu yenyewe ZALANI...!

Mnaanzisha nyuzi Kibao...Je Mkiwafunga wamisri sijui itakuwaje
Kama sio timu iliingiaje champions league? Ligi ya mabingwa akuna cha timu ndogo kila timu ikishakuwepo pale basi ukileta dharau utaaibika mpira umebadilika acheni mambo ya kizamani, ndo maana ata big bullets kwenye ligi yao mbovu yeye ndo anatamba na mkashinda 2 lakini ni timu mbovu pia lakini pamoja na ubovu wake mliuma meno kana kwamba mnacheza fainali
 
Wazee wa kuwasha moto wameshauharibu uwanja.
 
Ila Yanga mmekua wachawi mpk noma,yani magoli yenu siku hzi mpk mkabustiwe kipindi cha pili. Nendeni mkafanyiwe maombi
 
Back
Top Bottom