Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Hii n aibu sana kwa soka letu mnataka kutuaminisha waamuzi wanaungia na matokeo uwanjan
Means kuna rushwa inaendelea soka letu
Haiwezekani kila mechi jaman mnafungia wamuzi
Hivi vikaoo mnalipwa na nani kila siku mnafungia waamuzi mbaya wameshindwa kutasfiri sheria
Mna shida kubwa sana snaaaa
Mjiangalie
Singida wamenyimwa penelty ok inasaidia nn mkimfungia mnamfungulia baadae huu n uhaini wa soka
TTUBADIIKE HIZI STORY TUMRCHOKAA