Mapimbi tuT
Walewalemkuu hakunajipya
jana Tabora nao wamenyimwa penati tusubiri maamuzi yaoHii n aibu sana kwa soka letu mnataka kutuaminisha waamuzi wanaungia na matokeo uwanjan
Means kuna rushwa inaendelea soka letu
Haiwezekani kila mechi jaman mnafungia wamuzi
Hivi vikaoo mnalipwa na nani kila siku mnafungia waamuzi mbaya wameshindwa kutasfiri sheria
Mna shida kubwa sana snaaaa
Mjiangalie
Singida wamenyimwa penelty ok inasaidia nn mkimfungia mnamfungulia baadae huu n uhaini wa soka
TTUBADIIKE HIZI STORY TUMRCHOKAA
waamuzi wa Sudan wapo tena wanaitwa kimataifa waanze na kamati ya waamuzi hapo ndio kuna tatizoKama vipi si wachukue waamuzi kutoka nchi jirani! Mfano Somalia, Burundi, Kenya, Ethiopia, nk. Kwa nini kila siku wanawakumbatia watu wale wale wanaoboronga kwenye maamuzi yao?
TFF sio kazinyao kuwasimamia au kuwafunza marefarii,hiyo ni kazi ya chama cha marefaHii n aibu sana kwa soka letu mnataka kutuaminisha waamuzi wanaungia na matokeo uwanjan