Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 473
- 1,682
Mimi nilitaka kushangaa mtu anasimama mbele ya halaiki, tena mtoto mdogo tu anatamba eti atachacha, where do you get that arrogance? Kwamba Yanga ni kubwa kuliko authority? Unaongea as if unayemuongelea ni mtu mdogo sana halafu umetegwa omba radhi unajibu tena kwa kejeli.
Hongereni Jeshi la Polisi kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya, ni matumaini yangu wasemaji wote wa timu zetu mbili iwe SImba au Yanga, mtakuwa na adabu.
Hata Mtanda cjui alihofia nini kumweka ndani Ahmed Ally, lazima tuwe na adabu na viongozi wetu, ndio maana Mhe Mtanda juzi amekiponda kispika cha Ahmed Ally lkn Ahmed ametambua mamlaka ya kiongozi huyo.
Guys, Mkuu wa Mkoa ametajwa kikatiba, sheria zote zilizotungwa na bunge yeye anazisimamia ndani ya mkoa, someni ibaya ya 61 (4) ya Katiba yetu ya nchi ya mwaka 1977, aidha Mkuu wa Mkoa ana mamlaka pia kwa mujibu wa sheria ya tawala za mikoa na 19 ya mwaka 1997, kwa wale watumishi wa umma someni Standing Order toleo la mwaka 2009 sehemu B 15 mtaona RC na DC ni wasimamizi wa shughuli za maendeleo katika mikoa na wilaya, wana mamlaka ya kushughulika na nyie watumishi, mkizingua wanaagiza usimame kazi ama la.
Kwa hiyo msifanye siasa mnapojibizana na viongozi hawa wateule, kama unamheshimu na kumnyenyekea Injinia kama babako mzazi vipi ushindwe kumheshimu kiongozi wa mkoa? ebo.
Wito wangu kwa TFF na Bodi, najua mlikaa na kumjadili ALly Kamwe lakini habari za kumfungia zikavuja mkapoteana, msifanye siasa wala kuwaogopa hawa vijana, tandikeni adhabu ili washike adabu zao.
Mnaogopa kutoa adhabu kwamba mtachukiwa na mashabiki wao, mashabiki wengi hawa wameingia kwenye mpira juzi tu, simba kufungwa na mwarabu bao 2 kila mtu anaongea ujinga as if simba ni malaika?
Chukueni hatua pindi mnapoona watu wanawaletea dharau na kutumia mashabiki wao kufanya uchochezi.
Ally Kamwe akitoka aombe radhi kwa RC mambo yaishe na uwe na adabu siku nyingine, heshimu mamlaka.