Bushmaster
JF-Expert Member
- Jan 18, 2022
- 583
- 1,265
Habari kwenu nyote.
Katika kile ambacho TFF na Bodi ya Ligi inakipinga kila siku suala la upangaji wa matokeo,lakini wao kwa namna moja ama nyingine wamekua wakikifanya kwa makusudi kabisa bila kushtakiwa na mtu yeyote.
Hivi inawezekana vipi katika hali ya ushindani wewe unapanga ratibu Simba ianze kucheza kila mechi na Yanga ndio icheze, Imagine Simba imepoteza au kutoa droo unadhani Yanga itapoteza? hamkuona haja kutofautisha ratiba kama Simba anaanza kucheza wiki hii,wiki ijayo Yanga ndio aanze.
Na ndio maana tulikua tunaona hali ya rushwa kila Yanga inapocheza,recall mechi ya juzi Singida v Yanga
Ratiba nzima ilikua ni kuifavour Yanga ili achukue ubingwa, ina maana yule mtu mliemuita kutoka spain awafundishe namna ya kupanga ratiba ndio amewafundisha hivyo.