Tff na Bodi ya Ligi imeisadia Yanga kushinda ubingwa msimu wa 2022/23

Kwa hiyo Yanga ikawa inaibia style ya Simba? Au una maanisha nini?
 
 
Hivi ligi ya Tanzania ni ya Simba na Yanga pekee??
 
Utopolo hawajawahi shinda kihalali hata wacheze na mbuni fc wao ni bahasha tu
 
Juzi kuna rushwa gani imetolewa au na wewe kichwa chako Ni mfuniko wa miwili
 
mwaka jana Manara alishupaza shingo hawataki viporo leo wanaungana na tff kusogeza michezo yao [emoji23][emoji23]
 
Kaangalie ratiba vizuri, then urudi hapa kufuta Uzi wako..round 1 Hadi 4 Yanga alianza kabla ya Simba, round 5 hadi 8 Simba akaanza, then ikawa inabadilika badilika
 
dah..makolo mmezidi kuandika utopolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…