NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kanuni inasemema "Taarifa ya mabadiliko ya uwanja inatakiwa kutolewa siku 7 kabla ya mchezo"
lakini imekua tofauti kabisa kwenye mchezo wa Simba sc vs KMC kwani jumamosi iliyopita timu ya KMC ilipewa taarifa kuwa Mchezo wao dhidi ya Simba sc utachezwa kwenye uwanja wa Generali Isamuyo na cha kushangaza zaidi zimebaki siku 3 mchezo kuchezwa timu ya KMC wanapewa taarifa kuwa mchezo umehamishwa kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid JIji la Arusha
huu ni uonevu wa hali ya juu unaofanywa na TFF na Bodi ya ligi kuzikandamiza timu ndogo kwa kuzikanyaga kanuni kwa makusudi ili tu Simba sc inufaike na mchezo huu
swali langu je ingekua ni derby ya kariakoo ungefanyika utumbo wa namna hii kama tu kuna timu ya kariakoo haikuingiza timu uwanjani baada ya kubadilishiwa muda na hakuna adhabu yoyote iliyotolewa kwa wahusika
TFF na BODI YA LIGI acheni kuchezea kanuni mlizoziweka wenyewe ili kunufaisha kikundi cha watu wachache huu ni uovu wa waziwazi na haikubaliki katika ukuaji wa mpira wetu huu.