luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Wewe nawe acha mambo ya stori za kijiweni. Kwani ratiba ya Simba imeanza kutolewa juzi ama Jana mpaka Yanga wajiandae na mechi kisha wapande na ndege kwenda kufuata Namungo kisha waende kugomea mechiKuna Taarifa zisizo rasmi zina zagaa eti ya kuwa katika mchezo wa kesho Namungo fc vs Yanga , eti yanga hawataleta timu kiwanjani kwa maana watagomea mchezo kushinikiza mnyama acheze kwanza viporo vyake .
Kama watafanya hivyo basi TFF msipepese macho walaa msiruhusu mazungumzo nyie pigilieni msumari iporomosheni daraja iyo club na kuibokora points zake.
MSIWADEKEZEE watajiona wao ni SPECIAL
Hizo imani ndio zinafanya mpira wetu usiendelee wasipochukua maamuzi watavuruga ligi nzima wasipotokea washushwe darajaHivi unajua bila yanga simba haipo. Halikadhalika bila simba yanga haipo
Wahenga tu ndo watanielewa
Mbona dsm waligoma si walijiandaa na mechi na wakachoma mafutaWewe nawe acha mambo ya stori za kijiweni. Kwani ratiba ya Simba imeanza kutolewa juzi ama Jana mpaka Yanga wajiandae na mechi kisha wapande na ndege kwenda kufuata Namungo kisha waende kugomea mechi
Huyo mleta mada bado hajakomaa kiakili.. Kwanza unconfirmed information anatuletea za nini..Hivi unajua bila yanga simba haipo. Halikadhalika bila simba yanga haipo
Wahenga tu ndo watanielewa
Achana na waendesha bodaboda akili zao wanazijua wenyewe.Huyo mleta mada bado hajakomaa kiakili.. Kwanza unconfirmed information anatuletea za nini..
Si asubiri ziwe confirmed ndo utuletee..!!
UMEKARIRISHWA. Na hili ndio tatzo la kutoruhusu AKILI YAKO KUFANYA KAZI KWA UHURUHivi unajua bila yanga simba haipo. Halikadhalika bila simba yanga haipo
Wahenga tu ndo watanielewa
Hakuna tff yenye uwezo wa kuishusha Yanga au Simba daraja . HakunaKuna Taarifa zisizo rasmi zina zagaa eti ya kuwa katika mchezo wa kesho Namungo fc vs Yanga , eti yanga hawataleta timu kiwanjani kwa maana watagomea mchezo kushinikiza mnyama acheze kwanza viporo vyake .
Kama watafanya hivyo basi TFF msipepese macho walaa msiruhusu mazungumzo nyie pigilieni msumari iporomosheni daraja iyo club na kuibokora points zake.
MSIWADEKEZEE watajiona wao ni SPECIAL
Walijiandaa kwa mechi na hawakugoma bali walishinikiza sheria na kanuni zifuatwe. Hivyo wao walikuwa tayari kwa mechi ya saa kumi na moja na ndio maana wakaleta timu muda uliopangwa tokea awaliMbona dsm waligoma si walijiandaa na mechi na wakachoma mafuta
Msipeleke timu uwanjani leo ndio mtamjua KARIA kama ni raisi wa TFF au kichefuchefuHakuna tff yenye uwezo wa kuishusha Yanga au Simba daraja . Hakuna
Pumbavu kabisa wale, kwan hawakupokea taarifa za mabadiliko ya muda wa mchezoWalijiandaa kwa mechi na hawakugoma bali walishinikiza sheria na kanuni zifuatwe. Hivyo wao walikuwa tayari kwa mechi ya saa kumi na moja na ndio maana wakaleta timu muda uliopangwa tokea awali
Hivi unajua bila yanga simba haipo. Halikadhalika bila simba yanga haipo
Wahenga tu ndo watanielewa
Yanga Ni brand kubwa kuliko TFF, BMT na Wizara ya MichezoKuna Taarifa zisizo rasmi zina zagaa eti ya kuwa katika mchezo wa kesho Namungo fc vs Yanga , eti yanga hawataleta timu kiwanjani kwa maana watagomea mchezo kushinikiza mnyama acheze kwanza viporo vyake .
Kama watafanya hivyo basi TFF msipepese macho walaa msiruhusu mazungumzo nyie pigilieni msumari iporomosheni daraja iyo club na kuibokora points zake.
MSIWADEKEZEE watajiona wao ni SPECIAL
Simba inakuwaje mpinzani wa Simba?Kwanza sasa hivi mpinzani wa simba ni azam.hao washuke Tu daraja
Hana jeuri hiyoMsipeleke timu uwanjani leo ndio mtamjua KARIA kama ni raisi wa TFF au kichefuchefu
Kina cha maji hayapimwi kwa macho ni either uzame humo majin au usiguse kabisa ...sasa ni vyema na leo msipeleke timuHana jeuri hiy