Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,122
- 4,699
Mwakani,raundi yote ya kwanza itakuwa imeisha na dirisha dogo limefunguliwa ili mandunduka wawe wamesajiliAahaaaaa
Kumbe imesogezwa mbele
Nilikuwas sijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwakani,raundi yote ya kwanza itakuwa imeisha na dirisha dogo limefunguliwa ili mandunduka wawe wamesajiliAahaaaaa
Kumbe imesogezwa mbele
Nilikuwas sijui
Peleka ushahidi Takukuru wa kuhongwa, kulia Lia hapa akutokusaidia chochote, ukiwa na timu mbovu lazima utazalilishwa tu na utakimbilia kichaka Cha kuhongwa!Kwani mmeishiwa pesa ya kuhonga mmeanza kulalamikia TFF?
Ama pesa zote mmehonga mechi ya Simba?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Eng.Hersi usifikili kakaa kimya kwamba ajui mipango yao, anajua sana isipokuwa na yeye ni mtoto wa mjini vile vile anazichanga karata zake namna wanavyokuja maana alishaona lile genge la warace karia na watu wake linafanya Kila njia kumfelisha ivyo basi anaenda nao kimlaloChief hiki Si kitu cha kujisifia, wachezaji wamejitoa hadi nguvu yao ya mwisho na haitakiwi kuwa hivi.
Kinachonikera ni ukimya wa Engineer, hawa mbwa TFF kuendelea kuwakalia kimya kunasabisha wazidi kuongeza vizingiti kwenye mechi zetu. Mf, mdogo msimu wa mwaka juzi Magoli mengi halali ya Mayele yalikataliwa ili tu asiwe mfungaji bora na kweli wakafanikiwa.
Kuna kitu kinaitwa makosa ya kibinadamu ya waamuzi, kama kweli ni makosa ya kibinadamu kwanini Msimu huu karibu kila mechi lazima waamuzi watunyonge hata leo imekuwa hivyo wakati Simba Sc wao wananufaika na maamuzi ya hovyo ya waamuzi?
Engineer Hersi toka usingizini hawa wachezaji wana damu, wanachoka kimwili na kisaikolojia hasa wanapoona mpinzani anabebwa wazi wazi.
Engneeer ita press wachane hao TFF na bodi ya ligi. Usiposema ukweli unakaribisha matatizo zaidi sababu hawa wachezaji kwa huu mwendo ni lazima watadondosha points.
Eng.Hersi sio kwamba ajui wanachokifanya awa jamaa anajua sana isipokuwa ashagundua hili genge la warace karia na watu wake linataka kumfelisha, na yeye kwakuwa ni mtoto wa mjini vile vile anaenda nao kimlalo mlalo mpaka watatema ndoano wenyewe,Chief hiki Si kitu cha kujisifia, wachezaji wamejitoa hadi nguvu yao ya mwisho na haitakiwi kuwa hivi.
Kinachonikera ni ukimya wa Engineer, hawa mbwa TFF kuendelea kuwakalia kimya kunasabisha wazidi kuongeza vizingiti kwenye mechi zetu. Mf, mdogo msimu wa mwaka juzi Magoli mengi halali ya Mayele yalikataliwa ili tu asiwe mfungaji bora na kweli wakafanikiwa.
Kuna kitu kinaitwa makosa ya kibinadamu ya waamuzi, kama kweli ni makosa ya kibinadamu kwanini Msimu huu karibu kila mechi lazima waamuzi watunyonge hata leo imekuwa hivyo wakati Simba Sc wao wananufaika na maamuzi ya hovyo ya waamuzi?
Engineer Hersi toka usingizini hawa wachezaji wana damu, wanachoka kimwili na kisaikolojia hasa wanapoona mpinzani anabebwa wazi wazi.
Engneeer ita press wachane hao TFF na bodi ya ligi. Usiposema ukweli unakaribisha matatizo zaidi sababu hawa wachezaji kwa huu mwendo ni lazima watadondosha points.
Hamjasema bado.Kwani mmeishiwa pesa ya kuhonga mmeanza kulalamikia TFF?
Ama pesa zote mmehonga mechi ya Simba?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
🤣🤣Hatimaye ttf wamekufa kifo kibaya
Singida 0-2
Azam 2-3
Simba 1-5
Coast 0-1.
Kesho wanacheza Tatu malogo fc a.k.a Karia fc, a.k.a halaaaaa 👋😅
Bodi ya ligi inajua Yanga haijawahi kuwa na match rahisi mkwakwani so hii kitu ilipangiliwa kimkakati mnoMechi ya leo ilikua jihad mno. Ilikua game ya kutumia nguvu sana na ufundi mwingi.
Jina lako linamaanisha akili zako mastermechi ijayo tutawapangia na utopolo Queens.
Kweli nimeamini ni watu wawili tu wenye akili kudogo japo ya kuvukia barabara pale utopoloni
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Kabisa Mkuu... Wametutesa ..wametunyanyasa mnoo..Kwakweli Hawa watu ni makatili sijawai Kuona, walikuwa wametega mtego mbaya sana dhidi ya yanga lakini wameferi na wameshindwa vibaya sana.
Hii ratiba aikupangwa kwa bahati mbaya bali walikuwa wamedhamilia na walikuwa na Nia mbaya kabisa, yanga kacheza na Azam baada ya siku tatu kacheza na singida, baada ya siku 5 kacheza na Simba baada ya siku 3 akasafiri kwenda tanga kucheza na coast union, mechi 4 ngumu ndani ya siku 13.
Wanayejitahidi kumbeba abebeki ni Kama gunia la misumali mgongoni, kacheza jumapili lakini yeye anacheza siku inayofata na Yuko dar lakini anayesafiri ndiye kacheza kabla ni mambo ya kishamba sana haya!
Walikuwa wanajua yanga lazima adondoshe point kwa Azam wakaferi, wakajua waipange mechi ya singida karibu ili kusudi wasipodondosha kwa Azam basi wadondoshe kwa singida kwakuwa watakuwa na uchovu mwingi napo wakapigwa za uso, imekuja mechi ya Simba wakaaibishwa.
Wakapanga yanga ikutane coast union ndani ya siku 3 ili kusudi wakishindwa kudondosha kwenye derby wasafiri kwenda tanga na wakutane na UGUMU wakiwa wametoka kutumia nguvu kubwa kwenye mechi ya derby ili waache point ata sare napo wamelambishwa mchanga🤣🤣🤣
Siku zote Giza aijawai kuishinda Nuru mtaendelea kushindwa Kila mtapokuwa mnapanga mipango miovu na Yanga ni mpango wa mungu, ingekuwa ndio iyo timu yenu imekutana na hii ratiba Sasa hivi mngekuwa mnaomboleza parapanda kolowahed.
Ndoo taarifa ikufikie ratiba ngumu SANA......sijui ni upande mmoja tuAahaaaaa
Kumbe imesogezwa mbele
Nilikuwas sijui
Hivi nawezaje kukusanya ushahidi na kuupeleka #Fifa hawa #Tff wamezidi sana kuionea Yanga sio mara ya kwanza hii yani haiji akilini kabisa huu udhalilishaji mkubwa sana kwenye mpira wetu.
Lia Lia na mnapewa kichapo kizito Kila mkinusa pua zenu🖐️🖐️🖐️LIALIA FC