TFF na Bodi ya Ligi mipango yenu ya kuipangia Yanga ratiba ngumu ili idondoshe point imezikwa rasmi, Mungu sio Athumani

mechi ijayo tutawapangia na utopolo Queens.
Kweli nimeamini ni watu wawili tu wenye akili kudogo japo ya kuvukia barabara pale utopoloni

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Eng.Hersi usifikili kakaa kimya kwamba ajui mipango yao, anajua sana isipokuwa na yeye ni mtoto wa mjini vile vile anazichanga karata zake namna wanavyokuja maana alishaona lile genge la warace karia na watu wake linafanya Kila njia kumfelisha ivyo basi anaenda nao kimlalo
Eng.Hersi sio kwamba ajui wanachokifanya awa jamaa anajua sana isipokuwa ashagundua hili genge la warace karia na watu wake linataka kumfelisha, na yeye kwakuwa ni mtoto wa mjini vile vile anaenda nao kimlalo mlalo mpaka watatema ndoano wenyewe,
Hersi hataki kuwapa faida na kuonekana analalamika isipokuwa na yeye atawapiga kimya kimya Kila Kona watayopangia mipango yao atachoma Kila aina ya kichaka, maana awa watu ni ovyo sana wanafikiri wale wachezaji ni vyuma avichoki! Na awatoweza janja yao ishagundulika kinachoibeba yanga ni kocha mzuri wa viungo waliyenae amewafanya wachezaji wawe timamu kimwili na energy kubwa sana ya kuweza kuhimili kucheza kwa dakika nyingi bila kuchoka but ingekuwa ni wale mwakarobo Sasa hivi wangekuwa nafasi ya Saba uko!
 
Kabisa Mkuu... Wametutesa ..wametunyanyasa mnoo..
Mungu Mkubwa.
 
Hivi nawezaje kukusanya ushahidi na kuupeleka #Fifa hawa #Tff wamezidi sana kuionea Yanga sio mara ya kwanza hii yani haiji akilini kabisa huu udhalilishaji mkubwa sana kwenye mpira wetu.

Acha kulalamika. Waambie TFF wafute team zote ibaki Yanga peke yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…