Akikujibu nijuzeYa mwamuzi kumpa mchezaji wa coastal Union red card uliita hii bodi?
Yeah Imeisha hioo ikirudi pancha!
Kwa hiyo ligi ya Tanzania haijafikia viwango; inaendeshwa kwa rushwa ni afadhali itelemshwe hadhi?ONESHA HUO MPAKA AU UMESIKILIZA MPIRA KWENYE REDIO
hatuwezi kulia msimu huu mtani umetupa pwenti 6 na upo nyuma pwenti 9Mbona ya Kagera sugar husemi? Vipi umelia sana had kamasi au machozi kukaukaa?
Afu bado hujasemaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ile card imefutwa kisiasa tu ila lawi alistahili kwa kumvuta aziz ki,kama lawi akua mtu wa so akustahili straight red card basi njano ya pili ilimuhusu maana alishakua na njano tayari,mguto na karia wote ni watu wa tanga na mguto bado kiongozi wa coastal,kinachopambaniwa coastal ashike nafasi ya 4 ili kama Yanga atabeba fa coastal washiriki michuano ya caf,Yanga walichokifanya wamepotezea tu ile kadi kufutwa sababu haina ilichobadilisha matokeoYa mwamuzi kumpa mchezaji wa coastal Union red card uliita hii bodi?
Sasa malalamiko na makasiriko yanatoka wapiiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatuwezi kulia msimu huu mtani umetupa pwenti 6 na upo nyuma pwenti 9
Sasa hapa wewe ndio unaleta siasaIle card imefutwa kisiasa tu ila lawi alistahili kwa kumvuta aziz ki,kama lawi akua mtu wa so akustahili straight red card basi njano ya pili ilimuhusu maana alishakua na njano tayari,mguto na karia wote ni watu wa tanga na mguto bado kiongozi wa coastal,kinachopambaniwa coastal ashike nafasi ya 4 ili kama Yanga atabeba fa coastal washiriki michuano ya caf,Yanga walichokifanya wamepotezea tu ile kadi kufutwa sababu haina ilichobadilisha matokeo
Baby hawa hawatusmbui subiri msimu ujao. Kuna watu watalia. Tutakamata kila kona.Wana Simba tusimame na timu yetu mi nawaambia mkiwafata Yanga na propaganda zao timu itawashinda..
Huu huu wanaouita uonevu wao wameafanyiwa favour na marefa mara nyingi zaidi yetu..
Unaumia pwiru ukiwa wapi?Kuna mikakati maalumu (kabambe) imeeandaliwa ili lastborn Simba SC ashike nafasi ya pili Hilo lipo wapi.
Goli walilofunga Tabora united na kudhurumiwa goli HIZO ni Juhudi za wazi kabisa kuwa Simba SC wametengenezewa mazingira ya kushika nafasi ya pili ili Azam FC ashike nafasi ya tatu
TFF na Bodi ya Ligi mnapaswa kutenda haki na siyo kuzungumza huku mpo nyuma ya pazia kuhakikisha timu YENU Pendwa kushika nafasi ya pili
Hapa ni kumwonea refa. Hii bila goal line technolody zitabaki tuuu lawamaMsimu ujao ndio mtaona ACTION, umafia wote mtauona, hii ni trela tu.
KoloWapewe basi....
Nyie wanga wakubwa. .hamjaona marefa waliotoa uamuzi kwny mechi zenu...wamepigwa faini kwa kuwabeba?? Na maamuzi yao ya hovyo tena mechi mbili mfululizo ...
Haya Kagera sugar wakanyimwa bao lao...unapata wapi confidence ya kuandika utopolo wako..
π π π πSasa malalamiko na makasiriko yanatoka wapiiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwemaaaa??
So ww unaamini kwa kumvuta jezi namna ile aziz ki akustahili hata kadi ya njano?Sasa hapa wewe ndio unaleta siasa