TFF na Bodi ya ligi mlisema utafuatilia Rushwa kwenye michezo haswa kipindi hiki ligi ipo mwishoni. Je, mmeona goli walilonyimwa Tabora United?

TFF na Bodi ya ligi mlisema utafuatilia Rushwa kwenye michezo haswa kipindi hiki ligi ipo mwishoni. Je, mmeona goli walilonyimwa Tabora United?

ONESHA HUO MPAKA AU UMESIKILIZA MPIRA KWENYE REDIO
Kwa hiyo ligi ya Tanzania haijafikia viwango; inaendeshwa kwa rushwa ni afadhali itelemshwe hadhi?

Neno rushwa ni zito sana; mimi ninataka tujivunie kuona ligi yetu ikiwa inashindaniwa. Sasa hivi tunaweza kupata wachgezaji kutoka Mrocco kuja kucxheza kwenye ligi yetu, na ukienda huko Afrika ya Magharibi na kusini (ispokuwa SA) utashangaa wachazaji wanavyotaka kuingia kwenye ligi yetu kwa hamu sana

Makosa ya refa ni kitu kimoja lakini haina maana kuwa ligi yote. Hata CAF refa aliinyima Yanga ushindi lakini haina na maana kuwa mashindano yote yana rushwa.
 
Mbona ya Kagera sugar husemi? Vipi umelia sana had kamasi au machozi kukaukaa?

Afu bado hujasemaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hatuwezi kulia msimu huu mtani umetupa pwenti 6 na upo nyuma pwenti 9
 
Ya mwamuzi kumpa mchezaji wa coastal Union red card uliita hii bodi?
Ile card imefutwa kisiasa tu ila lawi alistahili kwa kumvuta aziz ki,kama lawi akua mtu wa so akustahili straight red card basi njano ya pili ilimuhusu maana alishakua na njano tayari,mguto na karia wote ni watu wa tanga na mguto bado kiongozi wa coastal,kinachopambaniwa coastal ashike nafasi ya 4 ili kama Yanga atabeba fa coastal washiriki michuano ya caf,Yanga walichokifanya wamepotezea tu ile kadi kufutwa sababu haina ilichobadilisha matokeo
 
Sasa hapa wewe ndio unaleta siasa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Wana Simba tusimame na timu yetu mi nawaambia mkiwafata Yanga na propaganda zao timu itawashinda..
Huu huu wanaouita uonevu wao wameafanyiwa favour na marefa mara nyingi zaidi yetu..
Baby hawa hawatusmbui subiri msimu ujao. Kuna watu watalia. Tutakamata kila kona.
 
Kuna mikakati maalumu (kabambe) imeeandaliwa ili lastborn Simba SC ashike nafasi ya pili Hilo lipo wapi.

Goli walilofunga Tabora united na kudhurumiwa goli HIZO ni Juhudi za wazi kabisa kuwa Simba SC wametengenezewa mazingira ya kushika nafasi ya pili ili Azam FC ashike nafasi ya tatu

TFF na Bodi ya Ligi mnapaswa kutenda haki na siyo kuzungumza huku mpo nyuma ya pazia kuhakikisha timu YENU Pendwa kushika nafasi ya pili
Unaumia pwiru ukiwa wapi?
 
Wapewe basi....
Nyie wanga wakubwa. .hamjaona marefa waliotoa uamuzi kwny mechi zenu...wamepigwa faini kwa kuwabeba?? Na maamuzi yao ya hovyo tena mechi mbili mfululizo ...
Haya Kagera sugar wakanyimwa bao lao...unapata wapi confidence ya kuandika utopolo wako..
Kolo
 
Refa mwenyewe kavaa ushungi, unategemea atatenda haki kweli?

God Bless Israel
 
Kama uliona goli pekee halafu hujaona Ile advantage Simba walinyimwa usoni mwa lango basi wewe ni mbulula plus plus
 
Back
Top Bottom