TFF na bodi ya ligi mnapokalia kimya huu utumbo unaofanywa na marefa ni dhahiri kuwa mmetoa baraka zote

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Sasa nimegundua ni kwa nini marefa wetu hawaitwi kuchezesha mechi za kimataifa.

Kuanzia mechi ya Azam FC dhidi ya Dodoma waamuzi waliochezesha ile mechi ni utumbo mtupu tena Azam FC wananyimwa goli sijui TFF na Bodi ya ligi mnaawaadhibu vipi hao marefa.

Tazama mechi ya Singida Fountain Gate FC dhidi ya Simba SC Kuna makosa mengi sana yaliyofanywa na waamuzi mpaka unajiuliza hivi hawa marefa huwa wanajifunza sheria kweli?

Ukifuatilia mpira kwa makini unagundua kuwa refalii wapo kwa ajili ya kuzilinda Simba na Yanga tu maana wao Wana mashabiki ambapo watakapo ona wanazulumiwa ni lazima wapige kelele kwenye mitandao.

Kwa uchezeshaji huu ni ngumu sana kwa marefa kuitwa katika mechi za kimataifa na ukizingatia ligi yetu inakua kila siku inaongeza wafatiliaji na mashabiki wapya kutoka nchi za jirani na kimataifa pia.

TFF na Bodi ya ligi Kama mtaendelea kukaa kimya juu ya huu utumbo Basi ni wazi mnaitia doa ligi yetu na wapenzi wa mpira tutaamini kuwa nyinyi ndiyo mnabariki haya Madudu yanayofanywa na marefa.
 
Sasa nimegundua ni kwa Nini marefa wetu hawaitwi kuchezesha mechi za kimataifa.

Kuanzia mechi ya Azam Fc dhidi ya Dodoma waamuzi waliochezesha ile mechi ni utumbo mtupu Tena Azam Fc wananyimwa goli sijui TFF na Bodi ya ligi mnaawaadhibu vipi hao marefa.

Tazama mechi ya Singida fountain Gate Fc dhidi ya Simba sc Kuna makosa mengi sana yaliyofanywa na waamuzi mpaka unajiuliza hivi Hawa marefa huwa wanajifunza sheria kweli??

Ukifuatilia mpira kwa makini unagundua kuwa Refalii wapo kwa ajili ya kuzilinda Simba na Yanga tu maana wao Wana mashabiki ambapo watakapo ona wanazulumiwa ni lazima wapige kelele kwenye mitandao.

Kwa uchezeshaji huu NI ngumu sana kwa marefa kuitwa katika mechi za kimataifa na ukizingatia ligi yetu inakua kila siku inaongeza wafatiliaji na mashabiki wapya kutoka nchi za jirani na kimataifa pia.

TFF na Bodi ya ligi Kama mtaendelea kukaa kimya juu ya huu utumbo Basi ni wazi mnaitia doa ligi yetu na wapenzi wa mpira tutaamini kuwa nyinyi ndiyo mnabariki haya Masada yanayofanywa na marefa.
Bado hajasema wala hatajaanza ndo Kwanza tunatesti mtaona mengi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mi nimeamua kuanzia Leo siangalii Tena mechi za Simba kubebwa kumezidi hadi inatia kichefuchefu Singida BS wameonewa Sana Leo, walistahili ushindi , kila faulo inaenda kwao, goli lao la wazi wamenyimwa Ili kuipa Simba nafasi ya kufunga na kuongoza ligi.

Mchezaji wa Big Stars hakuwa offside maana alisharudi ndani na nyuma yake walikuwa mabeki wa Simba na mpira ulishachezeka iweje awe offside , Sheria namba ngapi ilitumika? Othman Kazi hebu njoo uchambue lile goli na lingekubaliwa Simba ingelala leo. Hawa marefa wa msimbazi hawafai, wanashusha ladha ya boli na kuharibu uwekezaji wa Azam kuonesha mechi live Africa nzima , hii ni aibu kwa taifa, yule lines man niliona kama ni Mzee,

Hana akili na hafai kuwa kibendera , haya ni madudu ya Mr Karai kung'ang'ania uongozi wa TFF Ili mkakati wake Simba kuchukua ubingwa ufaulu. Na hatoweza kufanikiwa maana Yanga tutamkanda Simba ndani nje na kuchukua points 6 na kazi yote ya kuibeba Simba itaishia hapo!

Kwa mazingira haya timu nyingi zikicheza na Simba hazitoshinda hata wajitoe vipi na inavunja moyo sana mtu unammudu anabebwa hadi inaboa sana!
 
Mi nimeamua kuanzia Leo siangalii Tena mechi za Simba kubebwa kumezidi hadi inatia kiche...f, Singida BS wameonewa Sana Leo, Kila faulo inaenda kwao, goli lao la wazi wamenyimwa Ili kuipa Simba nafasi ya kufunga na kuongoza ligi. Mchezaji wa Big Stars hakuwa offside maana alisharudi ndani na nyuma yake walikuwa mabeki wa Simba na mpira ulishachezeka iweje awe offside , Sheria namba ngapi ilitumika? Othman Kazi hebu chambua lile goli na lingekubaliwa Simba ingelala leo. Hawa marefa wa msimbazi hawafai, wanashusha ladha ya boli na kuharibu uwekezaji wa Azam kuonesha mechi live Africa nzima , hii ni aibu Kwa taifa, yule lines man niliona kama ni Mzee na hafai kuwa kibendera , haya ni madudu ya Mr Karai kung'ang'ania uongozi wa TFF Ili mkakati wake Simba kuchukua ubingwa ufaulu. Na hatoweza maana Yanga tutachukua points 6 za Simba na kazi yote ya kuibeba Simba itaishia hapo!

KUNA WAPUMBAVU WATAKUJA KULETA USHABIKI HAPA.

MKUU UMEONGEA FACT KABISA.
 
Kazi ipo!
oscaroscarjr-20231008-0001.jpg
 
Ukisema viwango vya uchezeshaji sio mzuri naweza kukubali na sio neno lako kuwa kuna mpango wa kuipendelea simba.wewe Yanga cheza mechi zako usitegemee timu nyingine zikusaidie kukupa mstokeo ...ningekuwa refa ile faulo aliyochezewa na beki nje kidogo ya box ningemtoa yule beki kwa straight red card...kwani Alimzuia mchezaji kufunga goli
 
Sasa nimegundua ni kwa nini marefa wetu hawaitwi kuchezesha mechi za kimataifa.

Kuanzia mechi ya Azam FC dhidi ya Dodoma waamuzi waliochezesha ile mechi ni utumbo mtupu tena Azam FC wananyimwa goli sijui TFF na Bodi ya ligi mnaawaadhibu vipi hao marefa.

Tazama mechi ya Singida Fountain Gate FC dhidi ya Simba SC Kuna makosa mengi sana yaliyofanywa na waamuzi mpaka unajiuliza hivi hawa marefa huwa wanajifunza sheria kweli?

Ukifuatilia mpira kwa makini unagundua kuwa refalii wapo kwa ajili ya kuzilinda Simba na Yanga tu maana wao Wana mashabiki ambapo watakapo ona wanazulumiwa ni lazima wapige kelele kwenye mitandao.

Kwa uchezeshaji huu ni ngumu sana kwa marefa kuitwa katika mechi za kimataifa na ukizingatia ligi yetu inakua kila siku inaongeza wafatiliaji na mashabiki wapya kutoka nchi za jirani na kimataifa pia.

TFF na Bodi ya ligi Kama mtaendelea kukaa kimya juu ya huu utumbo Basi ni wazi mnaitia doa ligi yetu na wapenzi wa mpira tutaamini kuwa nyinyi ndiyo mnabariki haya Madudu yanayofanywa na marefa.
Naunga mkono hoja
 
Ukisema viwango vya uchezeshaji sio mzuri naweza kukubali na sio neno lako kuwa kuna mpango wa kuipendelea simba.wewe Yanga cheza mechi zako usitegemee timu nyingine zikusaidie kukupa mstokeo ...ningekuwa refa ile faulo aliyochezewa na beki nje kidogo ya box ningemtoa yule beki kwa straight red card...kwani Alimzuia mchezaji kufunga goli
WEKA PEMBENI USHABIKI JIKITE KWENYE HOJA
 
Kama kunamsimama wa malalamiko utopolo mpaka sasa Wana point 50. kutoka kwenye ushindi wa 5g mpaka kulia lia na hapa bado ligi haijaanza kuchangamka mtakubali
KWA HIYO UNARIDHIKA NA UCHEZESHAJI WA HIVYO HUO.
 
Maamuzi yakitolewa kama kuipendelea Simba yanakua sio sahihi lakini yakiwa yana wabeba nyie utopolokwinyo inakua ni sawa kabisa, chakufanya pelekeni matangazo kwenye vituo vya redio na tv na matangazo mengine mkabandike kwenye geti la ikulu, ni zamu yenu kuteseka
 
Back
Top Bottom