TFF na bodi ya ligi msijaribu kubambikia Yanga kesi/ kosa

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Vikao vya bodi ya ligi vimekuwa virefu wakitafuta kosa la Yanga ila hawalipati,
Jibu ni kujaribu kumbambikia Yanga kesi kesi ili ku balance ili Yanga na Simba waonekane wana makosa na wapewe adhabu ili kufunika makosa Yao na derby irudiwe

Bodi ya ligi mlilibeba kosa la Simba, Sasa mlilibeba hadi Goligota hadi Calvary
Makosa

1. Mabaunsa/ Makomando
Hili kosa Mnalitengeneza ili mkabidhi Yanga
Yanga haina watendaji mabaunsa au makomando, watendaji wote wa Yanga wapo TFF Kwa vyeo na majina yao, Sasa hao mabaunsa au makomando Kwa Yanga ni jina kipya.
Mabaunsa watawazuia vip Simba? Simba ana ugeni gani Dar hajui police station ilipo hapo Chang'ombe ?

Mabaunsa watawazuia vip Simba wasifanye mazoezi kwenye uwanja wa Taifa na walikuwa na msafara wa police

2. Tuhuma za rushwa
Wenye mamlaka ya kuchunguza Rushwa TAKUKURU washawaruka
Wamesema wazi hawajaanzisha uchunguzi wala hawana taarifa zozote ziwe za Siri au za wazi kuhusiana na derby
Sasa bodi ya ligi taarifa za rushwa mlizipata wapi

3. Ukosefu wa usalama
Usalama Gani ulikosekana, bodi ya ligi wana intelenjisia Gani kunusa uvunjifu wa amani na usalama
Hapa police na IGP Wambura na RPC Murillo watwambie Kwa uimara wa jeshi la police wangeshindwa kuwahakikishia Watanzania waliofika uwanjani

Kama kulikuwa hamna usalama mbona mashabiki walikaa uwanjani siku mzima na hakuna hata Jiwe au manati ilionekana pale

Bodi ya ligi kuweni waungwana, tokeni hadharani mkiri kosa kuwa mlifanya makosa kuharibu derby, lipeni fidia, jiuzulu
Hapo tutafikiria kurudia kucheza derby

Ila mkijaribu kubambakizia Yanga kosa lolote, Nina hakika hamtafanikiwa na mtazidi kujikoroga
 
Je CCTV ziliondolewa?
Bodi ya Ligi uwezo wao ni mdogo haina weledi inafanya kazi kwakusikiliza kelele, (kwakutumia busara)
Siku ya kikao kama hakuna busara hakuna maamuzi.
Busara akisafiri ama kuumwa maamuzi hakuna
 
Kuwakataa Makomandoo wenu kwa utetezi wa kusema mfumo rasmi wa watendaji wa Yanga hauwatambui.

Ni kushindwa tu kuelewa namna mambo yana operate.

Simba walipewa adhabu ya kufungiwa mashabiki kutoshiriki mchezo wa CAF kwa kosa la mashabiki kuleta vurugu.

Hao mashabiki hawapo kwenye mfumo rasmi wa TFF wala CAF lakini Simba iliwajibika kwa kile kilichotokea.
 
Hao hawakusema mashabiki walisema ni makomando
Toka lini Yanga akawa na askari wa mafunzo ya ukomandoo hapa Tanzania?

Na Serikali inawatazama tu
Sasa bodi ya ligi wadhibitoshe hao askari wenye mafunzo ya ukomandoo walijuaje ni watumishi wa Yanga
 
Vikao vya bodi ya ligi vimekuwa virefu wakitafuta kosa la Yanga ila hawalipati,
Jibu ni kujaribu kumbambikia Yanga kesi kesi ili ku balance ili Yanga na Simba waonekane wana makosa na wapewe adhabu ili kufunika makosa Yao na derby irudiwe

Bodi ya ligi mlilibeba kosa la Simba, Sasa mlilibeba hadi Goligota hadi Calvary
Makosa

1. Mabaunsa/ Makomando
Hili kosa Mnalitengeneza ili mkabidhi Yanga
Yanga haina watendaji mabaunsa au makomando, watendaji wote wa Yanga wapo TFF Kwa vyeo na majina yao, Sasa hao mabaunsa au makomando Kwa Yanga ni jina kipya.
Mabaunsa watawazuia vip Simba? Simba ana ugeni gani Dar hajui police station ilipo hapo Chang'ombe ?

Mabaunsa watawazuia vip Simba wasifanye mazoezi kwenye uwanja wa Taifa na walikuwa na msafara wa police

2. Tuhuma za rushwa
Wenye mamlaka ya kuchunguza Rushwa TAKUKURU washawaruka
Wamesema wazi hawajaanzisha uchunguzi wala hawana taarifa zozote ziwe za Siri au za wazi kuhusiana na derby
Sasa bodi ya ligi taarifa za rushwa mlizipata wapi

3. Ukosefu wa usalama
Usalama Gani ulikosekana, bodi ya ligi wana intelenjisia Gani kunusa uvunjifu wa amani na usalama
Hapa police na IGP Wambura na RPC Murillo watwambie Kwa uimara wa jeshi la police wangeshindwa kuwahakikishia Watanzania waliofika uwanjani

Kama kulikuwa hamna usalama mbona mashabiki walikaa uwanjani siku mzima na hakuna hata Jiwe au manati ilionekana pale

Bodi ya ligi kuweni waungwana, tokeni hadharani mkiri kosa kuwa mlifanya makosa kuharibu derby, lipeni fidia, jiuzulu
Hapo tutafikiria kurudia kucheza derby

Ila mkijaribu kubambakizia Yanga kosa lolote, Nina hakika hamtafanikiwa na mtazidi kujikoroga

Badala ya Kuwakana ' Mabaunsa' bora ungemkana Haji Manara...

Huyo jamaa hilo fukuto linampa raha sana...jamaa ni ngulu mbili..!

Wakati ule alipokuwa anasema Yanga Wote ni Mazuzu alikuwa anamaanisha..!

Saa ivi mnafikiri ni mwenzenu,hapo hamna kitu, Karia ni Washkaji tu anamchokoa ili amdunge 5 yrs ban ili aseme ' mnaona Wananionea'...
 
Nje ya mada
Andika Uzi umlalamikie Manara
 
Wehu wameamka sasa Kalpana shemeji piga simu kwa yule daktari wao naona kuna watu watapata uchizi this time
 
Vikao vya bodi ya ligi vimekuwa virefu wakitafuta kosa la Yanga ila hawalipati,
Jibu ni kujaribu kumbambikia Yanga kesi kesi ili ku balance ili Yanga na Simba waonekane wana makosa na wapewe adhabu ili kufunika makosa Yao na derby irudiwe

Bodi ya ligi mlilibeba kosa la Simba, Sasa mlilibeba hadi Goligota hadi Calvary
Makosa

1. Mabaunsa/ Makomando
Hili kosa Mnalitengeneza ili mkabidhi Yanga
Yanga haina watendaji mabaunsa au makomando, watendaji wote wa Yanga wapo TFF Kwa vyeo na majina yao, Sasa hao mabaunsa au makomando Kwa Yanga ni jina kipya.
Mabaunsa watawazuia vip Simba? Simba ana ugeni gani Dar hajui police station ilipo hapo Chang'ombe ?

Mabaunsa watawazuia vip Simba wasifanye mazoezi kwenye uwanja wa Taifa na walikuwa na msafara wa police

2. Tuhuma za rushwa
Wenye mamlaka ya kuchunguza Rushwa TAKUKURU washawaruka
Wamesema wazi hawajaanzisha uchunguzi wala hawana taarifa zozote ziwe za Siri au za wazi kuhusiana na derby
Sasa bodi ya ligi taarifa za rushwa mlizipata wapi

3. Ukosefu wa usalama
Usalama Gani ulikosekana, bodi ya ligi wana intelenjisia Gani kunusa uvunjifu wa amani na usalama
Hapa police na IGP Wambura na RPC Murillo watwambie Kwa uimara wa jeshi la police wangeshindwa kuwahakikishia Watanzania waliofika uwanjani

Kama kulikuwa hamna usalama mbona mashabiki walikaa uwanjani siku mzima na hakuna hata Jiwe au manati ilionekana pale

Bodi ya ligi kuweni waungwana, tokeni hadharani mkiri kosa kuwa mlifanya makosa kuharibu derby, lipeni fidia, jiuzulu
Hapo tutafikiria kurudia kucheza derby

Ila mkijaribu kubambakizia Yanga kosa lolote, Nina hakika hamtafanikiwa na mtazidi kujikoroga

Huu ndio tunaita ushabiki wa mpira bila weredi,

Hizo vigezo vitatu umevitoa wapi kwamba TFF watatumia kuwajibu yanga?
 
Back
Top Bottom