Disney2
JF-Expert Member
- Jan 23, 2025
- 435
- 649
Unaishi nje ya nchi?
Hujajibu swali, Hizo vigezo vitatu umevitoa wapi kwamba TFF watatumia kuwajibu yanga?
Unaishi nje ya nchi?
Wa lini huo?au Yanga wamejibiwa na bodi ya Ligi?Hukuona waraka wa bodi ya ligi wa sababu zipi walitumia kuhairishwa mechi
Kama hujui basi
Yaan una andika kitu hata kukitetea huwezi,kama sio upunguani ni nini?Sawa mrembo
Akili zako haziwezi kuelewa mada zanguYaan una andika kitu hata likitetea huwezi,kama sio upunguani ni nini?
Maelezo meengi pumba tu,sasa una tofauti gani na GENTAMYCINE
Lipo wazi hiloSimba bingwa
Akili zako haziwezi kuelewa mada zangu
Kama huzielewi mada zangu
Humu Jamii forums Kuna mada zaidi ya million, changia hizo
Ubingwa wa UMBUMBUMBU.Simba bingwa
Yanga hata siwaelewi. Hivi mnashtaki au mnashtakiwa? Mbona hapa umejaza utetezi na kujihami wakati ninyi ndio mnaodai mmefungua mashtaka CAS? Hivi aliyeshtaki ataanza tena kuwakana mashabiki wake kwa kusema hatambui cheo kinachoitwa baunsa kwenye timu yake? Ukishtaki si unasubiri mshtakiwa aulizwe na ajibu? Sasa mbona inakuwa ni kama Yanga ndio imeshtakiwa CAS? 😂😂😂Vikao vya bodi ya ligi vimekuwa virefu wakitafuta kosa la Yanga ila hawalipati,
Jibu ni kujaribu kumbambikia Yanga kesi kesi ili ku balance ili Yanga na Simba waonekane wana makosa na wapewe adhabu ili kufunika makosa Yao na derby irudiwe
Bodi ya ligi mlilibeba kosa la Simba, Sasa mlilibeba hadi Goligota hadi Calvary
Makosa
1. Mabaunsa/ Makomando
Hili kosa Mnalitengeneza ili mkabidhi Yanga
Yanga haina watendaji mabaunsa au makomando, watendaji wote wa Yanga wapo TFF Kwa vyeo na majina yao, Sasa hao mabaunsa au makomando Kwa Yanga ni jina kipya.
Mabaunsa watawazuia vip Simba? Simba ana ugeni gani Dar hajui police station ilipo hapo Chang'ombe ?
Mabaunsa watawazuia vip Simba wasifanye mazoezi kwenye uwanja wa Taifa na walikuwa na msafara wa police
2. Tuhuma za rushwa
Wenye mamlaka ya kuchunguza Rushwa TAKUKURU washawaruka
Wamesema wazi hawajaanzisha uchunguzi wala hawana taarifa zozote ziwe za Siri au za wazi kuhusiana na derby
Sasa bodi ya ligi taarifa za rushwa mlizipata wapi
3. Ukosefu wa usalama
Usalama Gani ulikosekana, bodi ya ligi wana intelenjisia Gani kunusa uvunjifu wa amani na usalama
Hapa police na IGP Wambura na RPC Murillo watwambie Kwa uimara wa jeshi la police wangeshindwa kuwahakikishia Watanzania waliofika uwanjani
Kama kulikuwa hamna usalama mbona mashabiki walikaa uwanjani siku mzima na hakuna hata Jiwe au manati ilionekana pale
Bodi ya ligi kuweni waungwana, tokeni hadharani mkiri kosa kuwa mlifanya makosa kuharibu derby, lipeni fidia, jiuzulu
Hapo tutafikiria kurudia kucheza derby
Ila mkijaribu kubambakizia Yanga kosa lolote, Nina hakika hamtafanikiwa na mtazidi kujikoroga
Shabiki wa Simba walionekana wavaa jezi rasmi za Simba na kukaa jukwaa rasmi la shabiki wa Simba.Kuwakataa Makomandoo wenu kwa utetezi wa kusema mfumo rasmi wa watendaji wa Yanga hauwatambui.
Ni kushindwa tu kuelewa namna mambo yana operate.
Simba walipewa adhabu ya kufungiwa mashabiki kutoshiriki mchezo wa CAF kwa kosa la mashabiki kuleta vurugu.
Hao mashabiki hawapo kwenye mfumo rasmi wa TFF wala CAF lakini Simba iliwajibika kwa kile kilichotokea.
Utabishana na watu wasio na akili,maana kwa ushahudi wote, hawawezi kuwakataa hao wanaojiita mabaunsa.Kuwakataa Makomandoo wenu kwa utetezi wa kusema mfumo rasmi wa watendaji wa Yanga hauwatambui.
Ni kushindwa tu kuelewa namna mambo yana operate.
Simba walipewa adhabu ya kufungiwa mashabiki kutoshiriki mchezo wa CAF kwa kosa la mashabiki kuleta vurugu.
Hao mashabiki hawapo kwenye mfumo rasmi wa TFF wala CAF lakini Simba iliwajibika kwa kile kilichotokea.
Ambaye anakukaza Kutwa hadi Unajinyea.Yaan una andika kitu hata likitetea huwezi,kama sio upunguani ni nini?
Maelezo meengi pumba tu,sasa una tofauti gani na GENTAMYCINE
Jeshi la police litasema kama limefikia hatua ya kuzuiwa na hao waharifu na kushindwa kuwahakikishia Watanzania amani na usalama wawapo michezoniUtabishana na watu wasio na akili,maana kwa ushahudi wote, hawawezi kuwakataa hao wanaojiita mabaunsa.
Kama kinaweza kujitokeza kikundi cha wahuni wasiojulikana kikaizuia timu kuingia uwanjani na polisi wakashindwa kuwadhibiti,hilo ni tishio kamili la usalama