Una ongea ukiwa mumejificha nyuma ya bwana wako tiefuefuNyie mumepeleka kesi CAS mbona mayowe yanazidi subirini kesi iungurume ijulikane mbivu na mbichi,kurukaruka siyo dawa ya ulimbo.
Je CCTV ziliondolewa?Vikao vya bodi ya ligi vimekuwa virefu wakitafuta kosa la Yanga ila hawalipati,
Jibu ni kujaribu kumbambikia Yanga kesi kesi ili ku balance ili Yanga na Simba waonekane wana makosa na wapewe adhabu ili kufunika makosa Yao na derby irudiwe
Bodi ya ligi mlilibeba kosa la Simba, Sasa mlilibeba hadi Goligota hadi Calvary
Makosa
1. Mabaunsa/ Makomando
Hili kosa Mnalitengeneza ili mkabidhi Yanga
Yanga haina watendaji mabaunsa au makomando, watendaji wote wa Yanga wapo TFF Kwa vyeo na majina yao, Sasa hao mabaunsa au makomando Kwa Yanga ni jina kipya.
Mabaunsa watawazuia vip Simba? Simba ana ugeni gani Dar hajui police station ilipo hapo Chang'ombe ?
Mabaunsa watawazuia vip Simba wasifanye mazoezi kwenye uwanja wa Taifa na walikuwa na msafara wa police
2. Tuhuma za rushwa
Wenye mamlaka ya kuchunguza Rushwa TAKUKURU washawaruka
Wamesema wazi hawajaanzisha uchunguzi wala hawana taarifa zozote ziwe za Siri au za wazi kuhusiana na derby
Sasa bodi ya ligi taarifa za rushwa mlizipata wapi
3. Ukosefu wa usalama
Usalama Gani ulikosekana, bodi ya ligi wana intelenjisia Gani kunusa uvunjifu wa amani na usalama
Hapa police na IGP Wambura na RPC Murillo watwambie Kwa uimara wa jeshi la police wangeshindwa kuwahakikishia Watanzania waliofika uwanjani
Kama kulikuwa hamna usalama mbona mashabiki walikaa uwanjani siku mzima na hakuna hata Jiwe au manati ilionekana pale
Bodi ya ligi kuweni waungwana, tokeni hadharani mkiri kosa kuwa mlifanya makosa kuharibu derby, lipeni fidia, jiuzulu
Hapo tutafikiria kurudia kucheza derby
Ila mkijaribu kubambakizia Yanga kosa lolote, Nina hakika hamtafanikiwa na mtazidi kujikoroga
Hao hawakusema mashabiki walisema ni makomandoKuwakataa Makomandoo wenu kwa utetezi wa kusema mfumo rasmi wa watendaji wa Yanga hauwatambui.
Ni kushindwa tu kuelewa namna mambo yana operate.
Simba walipewa adhabu ya kufungiwa mashabiki kutoshiriki mchezo wa CAF kwa kosa la mashabiki kuleta vurugu.
Hao mashabiki hawapo kwenye mfumo rasmi wa TFF wala CAF lakini Simba iliwajibika kwa kile kilichotokea.
Vikao vya bodi ya ligi vimekuwa virefu wakitafuta kosa la Yanga ila hawalipati,
Jibu ni kujaribu kumbambikia Yanga kesi kesi ili ku balance ili Yanga na Simba waonekane wana makosa na wapewe adhabu ili kufunika makosa Yao na derby irudiwe
Bodi ya ligi mlilibeba kosa la Simba, Sasa mlilibeba hadi Goligota hadi Calvary
Makosa
1. Mabaunsa/ Makomando
Hili kosa Mnalitengeneza ili mkabidhi Yanga
Yanga haina watendaji mabaunsa au makomando, watendaji wote wa Yanga wapo TFF Kwa vyeo na majina yao, Sasa hao mabaunsa au makomando Kwa Yanga ni jina kipya.
Mabaunsa watawazuia vip Simba? Simba ana ugeni gani Dar hajui police station ilipo hapo Chang'ombe ?
Mabaunsa watawazuia vip Simba wasifanye mazoezi kwenye uwanja wa Taifa na walikuwa na msafara wa police
2. Tuhuma za rushwa
Wenye mamlaka ya kuchunguza Rushwa TAKUKURU washawaruka
Wamesema wazi hawajaanzisha uchunguzi wala hawana taarifa zozote ziwe za Siri au za wazi kuhusiana na derby
Sasa bodi ya ligi taarifa za rushwa mlizipata wapi
3. Ukosefu wa usalama
Usalama Gani ulikosekana, bodi ya ligi wana intelenjisia Gani kunusa uvunjifu wa amani na usalama
Hapa police na IGP Wambura na RPC Murillo watwambie Kwa uimara wa jeshi la police wangeshindwa kuwahakikishia Watanzania waliofika uwanjani
Kama kulikuwa hamna usalama mbona mashabiki walikaa uwanjani siku mzima na hakuna hata Jiwe au manati ilionekana pale
Bodi ya ligi kuweni waungwana, tokeni hadharani mkiri kosa kuwa mlifanya makosa kuharibu derby, lipeni fidia, jiuzulu
Hapo tutafikiria kurudia kucheza derby
Ila mkijaribu kubambakizia Yanga kosa lolote, Nina hakika hamtafanikiwa na mtazidi kujikoroga
Nje ya madaBadala ya Kuwakana ' Mabaunsa' bora ungemkana Haji Manara...
Huyo jamaa hilo fukuto linampa raha sana...jamaa ni ngulu mbili..!
Wakati ule alipokuwa anasema Yanga Wote ni Mazuzu alikuwa anamaanisha..!
Saa ivi mnafikiri ni mwenzenu,hapo hamna kitu, Karia ni Washkaji tu anamchokoa ili amdunge 5 yrs ban ili aseme ' mnaona Wananionea'...
Hapana niko mgongoni kwako nikiwa nimekuatamiaU
Una ongea ukiwa mumejificha nyuma ya bwana wako tiefuefu
Mwambie huyo ndugu yako Beira boy kwanza ndiye kaanza kutumiam lugha ya kuudhi.Kuwa na lugha ya staha
Vikao vya bodi ya ligi vimekuwa virefu wakitafuta kosa la Yanga ila hawalipati,
Jibu ni kujaribu kumbambikia Yanga kesi kesi ili ku balance ili Yanga na Simba waonekane wana makosa na wapewe adhabu ili kufunika makosa Yao na derby irudiwe
Bodi ya ligi mlilibeba kosa la Simba, Sasa mlilibeba hadi Goligota hadi Calvary
Makosa
1. Mabaunsa/ Makomando
Hili kosa Mnalitengeneza ili mkabidhi Yanga
Yanga haina watendaji mabaunsa au makomando, watendaji wote wa Yanga wapo TFF Kwa vyeo na majina yao, Sasa hao mabaunsa au makomando Kwa Yanga ni jina kipya.
Mabaunsa watawazuia vip Simba? Simba ana ugeni gani Dar hajui police station ilipo hapo Chang'ombe ?
Mabaunsa watawazuia vip Simba wasifanye mazoezi kwenye uwanja wa Taifa na walikuwa na msafara wa police
2. Tuhuma za rushwa
Wenye mamlaka ya kuchunguza Rushwa TAKUKURU washawaruka
Wamesema wazi hawajaanzisha uchunguzi wala hawana taarifa zozote ziwe za Siri au za wazi kuhusiana na derby
Sasa bodi ya ligi taarifa za rushwa mlizipata wapi
3. Ukosefu wa usalama
Usalama Gani ulikosekana, bodi ya ligi wana intelenjisia Gani kunusa uvunjifu wa amani na usalama
Hapa police na IGP Wambura na RPC Murillo watwambie Kwa uimara wa jeshi la police wangeshindwa kuwahakikishia Watanzania waliofika uwanjani
Kama kulikuwa hamna usalama mbona mashabiki walikaa uwanjani siku mzima na hakuna hata Jiwe au manati ilionekana pale
Bodi ya ligi kuweni waungwana, tokeni hadharani mkiri kosa kuwa mlifanya makosa kuharibu derby, lipeni fidia, jiuzulu
Hapo tutafikiria kurudia kucheza derby
Ila mkijaribu kubambakizia Yanga kosa lolote, Nina hakika hamtafanikiwa na mtazidi kujikoroga
Hujajibu swali, umevitoa wapi hivyo vigezo vitatu ulivyo elezea?Yanga wana kosa gani?