TFF na bodi ya ligi msijaribu kubambikia Yanga kesi/ kosa

Wala mihogo mna kelele, mlishaamua kwenda CAS mkapate point 3 na magoli ma 3 haya mengine ya nini?
Tulieni mdungwe sindano.
 
Yaan una andika kitu hata likitetea huwezi,kama sio upunguani ni nini?
Maelezo meengi pumba tu,sasa una tofauti gani na GENTAMYCINE
Akili zako haziwezi kuelewa mada zangu
Kama huzielewi mada zangu
Humu Jamii forums Kuna mada zaidi ya million, changia hizo
 
Akili zako haziwezi kuelewa mada zangu
Kama huzielewi mada zangu
Humu Jamii forums Kuna mada zaidi ya million, changia hizo

Utumbo mtupu,ukiulizwa maswali unaishia kususa sasa kama sio ukike ni nini hapo

Ungekua na akili ungetafuta soko la Mahindi
 
Yanga hata siwaelewi. Hivi mnashtaki au mnashtakiwa? Mbona hapa umejaza utetezi na kujihami wakati ninyi ndio mnaodai mmefungua mashtaka CAS? Hivi aliyeshtaki ataanza tena kuwakana mashabiki wake kwa kusema hatambui cheo kinachoitwa baunsa kwenye timu yake? Ukishtaki si unasubiri mshtakiwa aulizwe na ajibu? Sasa mbona inakuwa ni kama Yanga ndio imeshtakiwa CAS? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Shabiki wa Simba walionekana wavaa jezi rasmi za Simba na kukaa jukwaa rasmi la shabiki wa Simba.
Pia kabla ya vurugu walionekana wakishangilia Simba na walikuwa na mabango ya kushabikia Simba.
Sasa tueleze wale watu wanao daiwa kuzuia timu ya Simba walivaa jezi gani?
Walikuwa na bango la Yanga?
Je, Simba ikiwatuma watu wawazuie utajuaje siyo watu wa Simba au Yanga?
ngara23 tusubiri majibu.
 
Utabishana na watu wasio na akili,maana kwa ushahudi wote, hawawezi kuwakataa hao wanaojiita mabaunsa.
Kama kinaweza kujitokeza kikundi cha wahuni wasiojulikana kikaizuia timu kuingia uwanjani na polisi wakashindwa kuwadhibiti,hilo ni tishio kamili la usalama
 
Jeshi la police litasema kama limefikia hatua ya kuzuiwa na hao waharifu na kushindwa kuwahakikishia Watanzania amani na usalama wawapo michezoni

Bodi ya ligi intelenjisia ya kunusa uvunjifu wa amani waliujulia wapi?
Au hujui kuwa hiyo intelenjisia ni taaluma za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…