TFF na bodi ya ligi msijaribu kubambikia Yanga kesi/ kosa

Umemaliza kila kitu mkuu, uzi ufungwe.
 
Kuvaa jezi sio uthibitisho kuna mtu anaitwa Mchome anavaa jezi ya Simba lakini ni shabiki wa Yanga
 
We popoma wewe nguvu za kiume utoe wapi.

Nchi ina matahila hii naona mmekutana huyo mtoto wa kagera,pipa na mfuniko
Hivi ni Matahila kama ulivyoandika au Neno sahihi ni Matahaira? Halafu kutwa nikiwa nawaonyeni kuwa kama huna Akili kamwe usitafute Vita nami hapa JamiiForums kwani bado sina na sijaona Mpinzani wangu kwa Vita ya Maneno ambayo nina PhD nayo hamtaki Kunisikia / Kunielewa.
 
We una matusi ndugu mimi siyawezi hayo.
 
Mashabiki kikanuni wanatambulika lakini niambie ni kanuni gani inawatambua makomandoo. Ni rahisi kwa kundi la watu 10,20,30 kuvaa jezi za timu fulani wakaenda kufanya fujo mahala ila sio rahisi kwa kundi la 200 na kuendelea wakavalishwa jezi za timu fulani wakafanye vurugu.

Hii kitu ilipangwa ikapangika na mastermind Mbumbumbu.
 
Mbumbumbu wanadhani kila mtu ni mjinga
 
Uzuri wa ushabiki wa Simba na Yanga haujawahi kuwa siri. Hata ukachukua watu 10,20-30 ukawavisha jezi then wakafanya vurugu video zika leak.

Watu wakiwaona watawajua tu kuwa ni mamluki na zitawekwa references ambazo zinawaonesha uhalisia wao kuwa ni mashabiki wa timu gani.

Mashabiki kikanuni wanatambulika.

Sawa wanatambulika, lakini hawapo rasmi kwenye mfumo kwa maana ya kuwa registered.

Ukisema mashabiki of course ni kweli wanatambulika lakini wanatambulikaje? Je ni kweli wewe na ushabiki wako wa Yanga mamlaka za mpira zinakutambua kuwa ni shabiki wa Yanga?

Hizo kanuni zinawezaje kusaidia kuthibitisha kuwa huyu ni shabiki wa Yanga na huyu sio?

Kama tunaweza tu kusema huyu ni shabiki wa timu fulani pasipo kutumia reference ya uanachama wake wa kadi au kumhakiki kwenye mfumo rasmi wa shirikisho kama amesajiliwa na tuka make sense basi ni obviously swala la kusema huyu ni shabiki tunakuwa tunalipima kupitia mapenzi yake, jinsi anavyojitoa kuisapoti timu yake, jinsi anavyoonekana akifurahishwa na matokeo mazuri kwa timu husika.

Vilevile kupitia maelezo ya hapo juu wote tutakubaliana kuwa ni irrational kufikiri kuwa mashabiki wenye mapenzi na Simba wanaweza kuiletea vurugu Simba ishindwe kufanya mazoezi.

Na kwa bahati mbaya ni kuwa hao watu waliosababisha fujo wanajulikana na wameonekana kwenye matukio mengi ya Yanga wakiwa karibu na viongozi.

Na mbali zaidi katika press release zenu zote mpaka zile barua hakuna sehemu mmepinga kuwa wale Makomandoo sio watu wenye affiliation na Yanga.
 
Na mbali zaidi katika press release zenu zote mpaka zile barua hakuna sehemu mmepinga kuwa wale Makomandoo sio watu wenye affiliation na Yanga.
Kwasababu si Haji, Alikamwe au Hersi waliokuwepo eneo la tukio. Unapinga umeona nini au umemuona nani aliyefanya hicho kitendo mpaka useme huyu hana affiliation na mimi?

Bodi ya ligi watoe hizo video za makomandoo na wachukuliwe hatua.
 
Hayo mazingira ya kupika tu
Yanga haina ukomandoo, Yanga ina mashabiki
Tukubaliane hilo kwanza

Hao police waliowapa escort Simba ina maana walishindwa kuwadhibiti hao waharifu ?
Hapa IGP Wambura na RPC Murillo watueleze kama jeshi la police linadhibititiwa na hao waharifu
 
Wakichimama nchale!Wakikaa nchale!Wakikimbia nchale!Wakichuchumaa nchale!Kwani Genta yupo kwa wapi?Nchale hauja mpata?
 
Kwasababu si Haji, Alikamwe au Hersi waliokuwepo eneo la tukio. Unapinga umeona nini au umemuona nani aliyefanya hicho kitendo mpaka useme huyu hana affiliation na mimi?

Bodi ya ligi watoe hizo video za makomandoo na wachukuliwe hatua.
Bodi ya ligi ulisoma press release yao?

Kwenye maelezo ilisema baadhi ya walinzi walifahamika kwa sura walikuwa ni wa Club ya Yanga.

Simba iliwatambua kama Makomandoo lakini bodi ya ligi inawatambua kama walinzi.

Press release ya bodi ya ligi na press release ya Simba ina mutual inclusive kwenye phase Makomandoo na Walinzi.
 
Yanga haina hao walinzi
Unajua utaratibu wa taasisi kuwa na walinzi binafsi?
Yanga inatumia walinzi wa Sum JKT wapo pale Yanga makao makuu na Avic town.
 
Yanga haina hao walinzi
Unajua utaratibu wa taasisi kuwa na walinzi binafsi?
Yanga inatumia walinzi wa Sum JKT wapo pale Yanga makao makuu na Avic town.
Ndio tutarudi palepale ni utaratibu upi ambao unatambua kuwa waliovunja viti walikuwa ni mashabiki wa Simba?
 
Ndio tutarudi palepale ni utaratibu upi ambao unatambua kuwa waliovunja viti walikuwa ni mashabiki wa Simba?
Wale walitambulika ilikuwa mechi ya Simba na timu ngeni, na mashabiki wa timu Huwa hawachangamani
Sasa pale Taifa Simba walizuiliwaje na mashabiki wa Yanga na Simba wanawaita makomando
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…