TFF na bodi ya ligi msijaribu kubambikia Yanga kesi/ kosa

Wale walitambulika ilikuwa mechi ya Simba na timu ngeni, na mashabiki wa timu Huwa hawachangamani
Sasa pale Taifa Simba walizuiliwaje na mashabiki wa Yanga na Simba wanawaita makomando
Kwa hiyo mechi ya Simba na Yanga kukiweoo na watu wanaowaletea vurugu watu wa Yanga tutasema ni mashabiki wa Yanga au ni mashabiki wa Simba?
 
Kwa hiyo mechi ya Simba na Yanga kukiweoo na watu wanaowaletea vurugu watu wa Yanga tutasema ni mashabiki wa Yanga au ni mashabiki wa Simba?
Nitajuaje ni Mashabiki wa Simba wakati sio wakati wa mchezo
Hapo nikiletewa fujo nitawajulisha mamlaka wanaohakikisha usalama kunisaidia kunilinda ambao ni police
 
Nitajuaje ni Mashabiki wa Simba wakati sio wakati wa mchezo
Hapo nikiletewa fujo nitawajulisha mamlaka wanaohakikisha usalama kunisaidia kunilinda ambao ni police
2021 mliwahi kuletewa fujo kule Nigeria kabla ya mchez mkawatuhumu mashabiki wa wapinzani wenu kuwa ndio wahusika mpaka Manara akasema mnasusia mechi.

Je mlithibitisha vipi kuwa zile fujo zililetwa na hao mashabiki ilihali matukio hayo yalifanyika kabla ya mchezo?
 
Nigeria hawakufanya fujo
Mamlaka za Nigeria zilifanya test ya COVID-19 na kumwambia kuwa wachezaji wote wa Yanga walikuwa na COVID-19 na Waliingizwa quarantine
Na Yanga walila,imika kuchezesha kikosi dhaifu
 
Sawa na ile ya Kongo iliyotokea juzi?

Inathibitishaje kuwa wale ni mashabiki wa Tp Mazembe wakati vurugu hazikutokea wakati wa mechi?
 
Sawa na ile ya Kongo iliyotokea juzi?

Inathibitishaje kuwa wale ni mashabiki wa Tp Mazembe wakati vurugu hazikutokea wakati wa mechi?
Congo fujo zilitokea uwanjani
Fujo zilitokea nje unahusisha mamlaka za police
Ikitokea nje ya nchi unaenda ubalozini
Nyie Simba mlivozuiwa 😄mkambia Instagram kutoa andiko la kugoma

Wakati Chang'ombe police station na Kwa Mkapa ni pia na mdomo
 
Kwani Simba vurugu walifanyiwa Bunju au Benjamín Mkapa?

Kama unafuatilia mechi za Yanga kwa kuhudhuria uwanjani basi bila shaka utakuwa unawajua mabaunsa wanaokuwa nyuma ya viongozi wenu baada na kabla ya mechi.

Ally Kamwe aliwahi kuondolewa na mabaunsa wanaomlinda asijibu maswali ya waandishi wa habari kufuatia kupoteza mchezo dhidi ya Al Hilal.

Baunsa mwingine aliwahi kumpiga Dr Mohammed kwasababu tu ya kuiongelea vibaya Yanga.

Mabaunsa hao wanafahamika kwa majina hadi kwa sura na wengi wao wanafanya kazi kama stewards kwenye mechi za Yanga.

Na ndio maana ilikuwa rahisi kwa bodi ya ligi kusema inawatambua kama walinzi wa Yanga.
 
Hao hawakuwa mabaunsa wa Yanga
Kwanini Simba hawakwenda Chang'ombe police station kutoa taarifa na kuomba msaada
 
Hao hawakuwa mabaunsa wa Yanga
Kwanini Simba hawakwenda Chang'ombe police station kutoa taarifa na kuomba msaada
Baunsa wa Liverpool akizungumza sababu waliyoitumia kuizuia Simba wasifanye mazoezi
Your browser is not able to display this video.
 
Hukusikia kuna shabiki wa yanga alifariki? Ndio usalama wenyewe ule
 
Nadhani bodi ya ligi waanzie hapo kutoa adhabu kwa hao walinzi/makomandoo kwa kutupa ushahidi uliomithilika kuwa walifanya fujo nani makomandoo/walinzi wa Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…