NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
kufuatia utumbo huu (mistakes) uliofanywa na TFF na Bodi ya ligi inaonesha dhahiri kabisa hakuna watu weledi na wanaojua uongozi wa mpira
kitu kama
1) kuamuru mechi ya fainali ya FA kuchezewa Zanzibar wakati mwanzo timu ya TFF ikiongozwa na Karia walikwenda kujiridhisha na kukagua uwanja na kuona kuwa unafaa na kuutangazia umma kuwa fainali itachezwa Manyara baada ya muda watu kuanza kuhoji akiwemo Haji Manara, TFF walijitokeza tena na kudai kuwa uwanja hauna usalama na mechi itachezwa zanzibar
2) Utengenezaji wa kanuni za mfungaji bora endapo Wafungaji watalingana magoli hapa TFF walibugi baada ya kujifungia ndani walikuja na kipengele endapo watalingana magoli basi kitaangaliwa nani aliyepiga penati nyingi na kama kuna mchezaji anapenati nyingi basi hatochukua kiatu, kipengele cha asist kimeachwa kabisa na mchezaji aliyecheza dakika chache mwisho wa siku imeonekana magoli ya penati siyo magli kabisa
3)Tuzo za wachezaji ndani ya msimu hili ndiyo shirikisho la mpira linalotoa tuzo msimu kwenye msimu mwingine hakika hapa wamebugi pakubwa sana baada ya kutangaza kuwa tuzo zitatolewa kwenye ufunguzi wa ngao ya jamii
swali je wachezaji wanaoachwa na timu au wanaosajliwa na timu za nje huko watapewa nauli na TFF ili kuja kuchukua tuzo zao?
je wachezaji wasipokuja kwenye tuzpo hizo mtawapiga faini kama mnavyowatishiaga wachezaji ??
MAONI YANGU: Kwa ubabaishaji huu inaonekana kabisa pale TFF na Bodi ya ligi hakuna watu wa mpira bali kuna waganga njaa na watafuta mkate wa kila siku huu ni muda sasa wa kuachana na wazee wasiotaka hata kujifunza namna gani dunia inakwenda katika mabadiliko ya mpira