TFF na Bodi ya Ligi wapo kimkakati zaidi katika upangaji wa ratiba

Kumbe mlifungwa kwa makosa ya personal, kwanini hapo juu ulilalamikia fixture mgumu ndio iliyochangia kwa timu ya Simba kupoteza mechi. Tusimame na fixture au tusimame na makosa personal?
Unajua kusoma?

Wapi nimeandika fixture ngumu ndio sababu ya kupoteza mechi?
 
U

Upo kishabiki sana, kwahiyo hapa kinacholalamikiwa hakimjumuishi na uonevu anaofanyiwa Azam? Kwanini Azam unamtoa wakati ni mmoja wa waathirika katika hili ambapo mimi nipo kumuongelea pia? Kwanini umekaa kiusimba na uyanga pekee badala ya kukaa kiunamichezo?
Unazungumzia AFL je imeisha lini au bado inaendelea? Kwanini baada ya kuisha mechi za AFCON kwanini Simba na Yanga wacheze idadi sawa ya mechi ilihali mmoja kamzidi mwenzie michezo?
Kwanini baada ya kuisha michezo ya klabu bingwa ipangwe ratiba kwa kurudia kosa hilo hilo la kuwapa idadi sawa ya mechi Simba na Yanga wakati Simba ndiye aliyekuwa nyuma kwa mechi moja.
Wewe umedai TFF inaibeba Simba kwasababu ina kiporo kimoja

Mimi nimekuonesha kuwa hafi wewe una kiporo kimoja kwa Azam kwa maana hiyo naye Azam anatakiwa kulaumu kuwa TFF inaibeba Yanga?
 
Mbona hiyo ratiba unayoongelea ilikuwa ni sawa kwa Yanga mzee,
Wote wanapumzika siku sawa sawa. Simba tarehe 6 yanga tarehe 8 baada ya hapo tarehe 9 Simba na tarehe 11 Yanga. Wote wamekuwa wakipumzika siku mbili ya tatu mechi. Au point yako ni ipi hapo?
Ndio maana nimeomba mnipe reason kwanini Yanga ndio ionekane inahujumiwa ikiwa kila kitu ni sawa.

Ukisema sababu ni Simba kuwa nyuma kwa mchezo mmoja na mimi nitakukumbusha kuwa uko nyuma kwa mchezo mmoja na Azam

Kwa hiyo naye Azam ana haki ya kulia lia kuwa TFF inaipendelea Yanga?
 
Hivyo ni viporo haijalishi watakuwa na mzunguko wa ngapi lakini lazima viporo vichezwe.
Sasa kama unajua viporo lazima vichezwe nini sababu ya kulalamika?

Au umeambiwa ligi itaisha Simba ikiwa na viporo?
 
Ndio maana nimeomba mnipe reason kwanini Yanga ndio ionekane inahujumiwa ikiwa kila kitu ni sawa.

Ukisema sababu ni Simba kuwa nyuma kwa mchezo mmoja na mimi nitakukumbusha kuwa uko nyuma kwa mchezo mmoja na Azam

Kwa hiyo naye Azam ana haki ya kulia lia kuwa TFF inaipendelea Yanga?
Ndio maana nikakwambia upo kishabiki, hapa ahujumiwi Yanga bali ni Yanga na Azam kwa pamoja na anayebebwa ni Simba. Kwasababu ilipopangwa ile fixture baada ya kutoka kwenye AFCON timu zote zikawa sawa katika idadi ya mchezo kasoro Simba peke yake na Mtibwa.
Na hili swala la Simba kuwa nyuma kwa idadi ya mchezo lipo kimkakati zaidi. Kwanini ni yeye ndio awe nyuma zaidi kuliko wengine tena tokea mwaka jana? Kama klabu bingwa wote Yanga wana shiriki na wako hatua sawa. Kwani timu ya Simba iwe nyuma zaidi?
Angalia hapa baada ya kupanga ratiba ya viporo ile baada ya kutoka AFCON lakini wote wakawa sawa kasoro Simba pekee akawa na kiporo cha Mtibwa.
 
Attachments

  • 20240316_144759.jpg
    20240316_144759.jpg
    266.1 KB · Views: 3

Unaelewa unachokilalamikia lakini?

Simba kazidiwa mechi moja na Yanga, wewe kitendo hicho umeamua kukiita ni favour ya TFF inayombeba Simba. Sawa wacha tukubali

Lakini Yanga kuzidiwa mechi na Azam mbona hujataka kuiita favour ya TFF kuibeba Yanga??. kwanini?

Na wakati huo huo unasema mimi naandika kiushabiki.

Hebu niambie kwanini Simba kuwa na mechi moja ya kiporo dhidi ya Yanga swala hilo lionekane ni hujuma za kuibeba Simba

Wakati mazingira hayo hayo tunayaona kati ya Azam na Yanga ambapo Yanga ana kiporo kimoja dhidi ya Azam lakini hatusikii kauli za kusema Yanga inabebwa na TFF?
 
Sasa kama unajua viporo lazima vichezwe nini sababu ya kulalamika?

Au umeambiwa ligi itaisha Simba ikiwa na viporo?
Huu ni uhuni, nikuulize swali kuna sababu gani Azam acheze mechi na Yanga kesho tarehe 17 wakati Azam tayari ameshawazidi idadi ya michezo wapinzani wake kwenye mbio za ubingwa ambao ni Simba na Yanga?
Kinachofanyika ni upangaji wa matokeo.
 
Unaelewa unachokilalamikia lakini?

Simba kazidiwa mechi moja na Yanga, wewe kitendo hicho umeamua kukiita ni favour ya TFF inayombeba Simba. Sawa wacha tukubali

Lakini Yanga kuzidiwa mechi na Azam mbona hujataka kuiita favour ya TFF kuibeba Yanga??. kwanini?

Na wakati huo huo unasema mimi naandika kiushabiki.

Hebu niambie kwanini Simba kuwa na mechi moja ya kiporo dhidi ya Yanga swala hilo lionekane ni hujuma za kuibeba Simba

Wakati mazingira hayo hayo tunayaona kati ya Azam na Yanga ambapo Yanga ana kiporo kimoja dhidi ya Azam lakini hatusikii kauli za kusema Yanga inabebwa na TFF?
Mimi ni mwana michezo sipo kishabiki kama wewe, na ndio maana kwenye uzi nikahitimisha kuwa ilipaswa March 17 Yanga acheze dhidi ya JKT Tanzania huku Simba alipaswa kucheza na Mtibwa March 18 kisha ligi ndio isimame.
Kwa kufanya hivyo, washindani wote Simba, Yanga na Azam watakuwa na idadi sawa ya michezo ( michezo 20)
Hapo Azam anakuwa kapata haki yake.

Ila kwavile safari hii ratiba ipo kimkakati, Simba anaendelea kuongezewa gap mechi mbili dhidi ya Azam ambaye yupo kwenye mbio za top 2 na gap ya mechi moja baina ya Simba na Yanga lililokuwepo tokea mwaka jana litabakia pale pale.
 
Huu ni uhuni, nikuulize swali kuna sababu gani Azam acheze mechi na Yanga kesho tarehe 17 wakati Azam tayari ameshawazidi idadi ya michezo wapinzani wake kwenye mbio za ubingwa ambao ni Simba na Yanga?
Kinachofanyika ni upangaji wa matokeo.
The same question

Wakati wewe umecheza mechi 9 na Azam kacheza 12 kulikuwa na sababu gani ya Azam acheze mechi ya 13 wakati wewe una viporo vitatu?
Screenshot_20240316-155208.png

Kwanini TFF haikuipa Azam muda wa kupumzika ili kuwasubiria nyie mmalize viporo vyenu muwe sawa?

ligikuu-20240316-0003.jpg
 
Mimi ni mwana michezo sipo kishabiki kama wewe, na ndio maana kwenye uzi nikahitimisha kuwa ilipaswa March 17 Yanga acheze dhidi ya JKT Tanzania huku Simba alipaswa kucheza na Mtibwa March 18 kisha ligi ndio isimame.
Kwa kufanya hivyo, washindani wote Simba, Yanga na Azam watakuwa na idadi sawa ya michezo ( michezo 20)
Hapo Azam anakuwa kapata haki yake.

Ila kwavile safari hii ratiba ipo kimkakati, Simba anaendelea kuongezewa gap mechi mbili dhidi ya Azam ambaye yupo kwenye mbio za top 2 na gap ya mechi moja baina ya Simba na Yanga lililokuwepo tokea mwaka jana litabakia pale pale.
Mazingira haya unayoyaona leo yaliwahi kutokea kwa Azam na haukuwahi kutoka mbele kusema TFF inampango wa kuibeba Yanga.

Ndio hapo napokuona snitch
 
Hapo ndio mwisho wako wa kufikiria sasa umeamua kutumia hisia. Una uhakika sijawahi kukosoa?
 
Weka hapa tuoneshe ulivyoandika kuwa TFF inaweka mkakati wa kuibeba Yanga
 
The same question

Wakati wewe umecheza mechi 9 na Azam kacheza 12 kulikuwa na sababu gani ya Azam acheze mechi ya 13 wakati wewe una viporo vitatu?View attachment 2936304

Kwanini TFF haikuipa Azam muda wa kupumzika ili kuwasubiria nyie mmalize viporo vyenu muwe sawa?

View attachment 2936308
Hicho unachouliza hakiendani na hii mada kwasababu ni mazingira tofauti. Wakati unaosemea wewe, ni kipindi ambacho kuna muingiliano wa ratiba ya CAF (hakukuwa na muda wa kutosha na huwezi kusimamisha ligi kwasababu ya timu mbili). Wakati ninaozungumza mimi ni kipindi ambacho kuna muda wa kutosha kurekebisha magepu.
Baada ya kumalizika AFCON kulikuwa na muda wa kutosha tu kuzifanya timu zote ziwe na idadi sawa za mechi ila wakashindwa kufanya hivyo kwa Simba.
Ratiba ya safari hii tena kulikuwa na muda wa kutosha kufanya top 3 wote wanakuwa na idadi sawa ya mechi lakini wameshindwa wakati uwezekanao ulikuwepo.
 
Muda wa kutosha upi?

Kwani saizi hakuna mechi za CAF?

Kila mwaka mnalalamika nyie tu hamjistukii?
 
Weka hapa tuoneshe ulivyoandika kuwa TFF inaweka mkakati wa kuibeba Yanga
Huu mkakati upo kwaajili ya Simba, na anayekandamizwa zaidi anajulikana ni Azam. Niliwahi kuhoji kwenye huu uzi
 
Muda wa kutosha upi?

Kwani saizi hakuna mechi za CAF?

Kila mwaka mnalalamika nyie tu hamjistukii?
Wewe ni balozi wa Simba humu JF hujawahi kusimama katika umbo la uanamichezo zaidi ya kusimama katika ushabiki wa timu. Sikushangai.
Hata swala la kila mwaka kulalamika sisi sikupingi ni kweli ni sisi ndio tunaolalamika kila mwaka na malalamiko yetu sio hilo tu bali yapo mengi ikiwemo GSM kununua wachezaji wa timu pinzani ili wacheze chini ya kiwango, bahasha kwa marefa, timu kutumia uchawi, na GSM kudhamini timu nyingi za ligi kuu. Hivyo ni kawaida yetu kulalamika.
 
Wewe nawe umesoma mada ukaelewa au umekurupuka tu?
Kwani mpaka jana Simba na Yanga walikuwa na idadi ya mechi ngapi kama sio mpaka jana wote walikuwa na mechi 19 huku Azam ana mechi 20? Sasa wewe unataka Yanga acheze tarehe ngapi ili iweje amzidi Simba mchezo au?
Unaendaje sawa na Simba wakati yeye Simba ndiye aliyeko nyuma?
Yanga anacheza kesho tarehe 17 na ni mechi ambayo ilikuwa haina sababu ya kuchezwa kwasababu Azam na Yanga watakuwa wanaendelea kumzidi Simba idadi ya mchezo.
Ratiba sahihi ilikuwa tarehe 17 Yanga acheze dhidi ya JKT Tanzania huku Simba acheze dhidi ya Mtibwa. Hivyo ligi ingesimama kwa timu zote Simba, Yanga na Azam kucheza idadi sawa (michezo 20)
Sasa jkt na mtibwa wakicheza watakuwa na mechi 21 walizocheza,, hiyo kwako sawa jkt na mtibwa kuwa na mechi nyingi walizocheza,, we sema una wasiwasi na azam fc
 
Kwani ni mara ya kwanza Yanga kukutana na Azam hadi kuwe na wasiwasi? Mechi ya Yanga vs JKT na Simba vs Mtibwa ni mechi za kiporo hizo hivyo zilipaswa kuchezwa. Angalia ratiba iliyokuwepo kabla ya TFF na bodi ya ligi kuja kuivuruga baada ya kutoka kwenye mechi za makundi CAFCL.
 
Attachments

  • IMG_20240304_155222.jpg
    IMG_20240304_155222.jpg
    552.3 KB · Views: 5
  • IMG_20240304_155043.jpg
    IMG_20240304_155043.jpg
    579.3 KB · Views: 5
Back
Top Bottom