Mechi mliyopoteza 2-1 mlipoteza kwa ujinga na uzembe wenu kilichowafanys mpeleke mechi Jamuhuri Morogoro ni kipi na kuacha uwanja wa Chamazi, nyie ndio mlikuwa mpo nyumbani na mechi tatu mlikuwa mpo nyumbani sasa wajinga ni nani kama sio nyie wenyewe mliopeleka mechi Morogoro kisha mkaona mambo magumu mkarudi Dar Chamazi
Ukiwa unajua mpira utaona ukichoandika ni ujinga.
Hivi kati ya Jamuhuri na Manungu kipi kiwanja kibovu?
Simba imecheza Manungu na kupata alama 3 kwenye kiwanja kibovu kwanini sababu ya kupoteza mechi iwe ni uwanja?
Nakukumbusha kwamba mechi ya juzi tumecheza na JKT kwenye uwanja wao mpya ambao sio mzuri na bado tulipata matokeo
Katika mechi ambazo Simba amecheza mkoani asilimia 90 zote ameshinda.
Pointi alizodondisha nyingi zote kazipotezea nyumbani
Sare na Namungo ilikuwa ni Uhuru pale tayari tumepoteza pointi 2
Sare na KMC tena kwenye uwanja wa Chamazi unaoutaja taja.
Ungekuwa umeangalia mechi usingetaja sababu ya uwanja.
Makosa personal ya wachezaji hayawezi kufanya sababu iwe ni uwanja.
Nafasi ngapi tulitengeneza za kufunga lakini poor marking za forward yetu ndio iliyokuja kutuhukumu.
Plus Manura anakosaje lawama kwenye yale magoli? Au ulitaka lawama iende kwa uwanja?
Jifunze kuujua mpira na sometimes kukubali kushindwa ni moja ya fairness ya kumheshimu mpinzani.