Kama ni huyo basi anastahili kuonewa huruma.ni huyohuyo
Najua kuna watu watakuja na kuachalenji ushabiki wa Simba na Yanga. Mimi Niko hapa si Simba si Yanga lakini Jemadari Said anaifanya TFF ionekane kikundi cha Wahuni.
Najua kuna watu watakuja na kuachalenji ushabiki wa Simba na Yanga. Mimi Niko hapa si Simba si Yanga lakini Jemadari Said anaifanya TFF ionekane kikundi cha Wahuni.
Kuwa na heshima kijana mitandao isikutoe ufahamu hata manara alikuwa hana hata hela ya mafuta wanayopaka walemavu alivyokuja simba mo ndo alikuwa anamsaidia kwenye maisha kila mtu katoka mbali acha dharau.Ndiyo yule Meneja wa baadhi ya wachezaji aliyepiga picha na mchezaji huku akiwa amevaa kanzu chafu, na miguuni akiwa amevaa yeboyebo chakavu?
Mwambie aache ujinga basi.Kuwa na heshima kijana mitandao isikutoe ufahamu hata manara alikuwa hana hata hela ya mafuta wanayopaka walemavu alivyokuja simba mo ndo alikuwa anamsaidia kwenye maisha kila mtu katoka mbali acha dharau.
style hii ya kujifanya una chanzo cha habari ndani tff kisa aliwakua staff hapo itakuja kumcost.Unashangaa nn sasa? Tff kama taasisi lazima itoe taarifa kwa umma, hapa lazima ujue kuna waandishi wanafanya habari za kiuchunguzi means wanaingia ndani ya taasisi kutafuta habari, mfn Fabrizio yeye anavyanzo vyake ndani ya taasisi za kimechezo nying sana so hii ni kawaida 2
Kaka sio vizuri kumsagia mtu kunguni kichwani ili afukuzwe kazi. wenye mpira wao nchini ni TFF, kisha CECAFA, CAF na FIFA. Hivyo kwavyovyote vile taarifa ya uhakika kwa 100% kuhusu mpira wetu sisi Tanzania lazima mtu ataipata TFF au CECAFA, CAF au FIFA kupitia TFF au mfanyakazi wa TFF asiyekuwa mwadilifu. Jemedari kudai kuwa anacho chanzo cha uhakika kinachompatia taarifa za mpira na wadau wa mpira wewe haikushitui? Manara kwenye hili anaingiaje? Je, Jemedari haoni kuwa anashirikiana na wahalifu ndani ya TFF kuifanya TFF ionekanake kama kijiwe cha wahuni wasiokuwa na maadili? Yuko tayari kuvitaja hivyo vyanzo vyake vya taafifa za TFF na CAF?Kuwa na heshima kijana mitandao isikutoe ufahamu hata manara alikuwa hana hata hela ya mafuta wanayopaka walemavu alivyokuja simba mo ndo alikuwa anamsaidia kwenye maisha kila mtu katoka mbali acha dharau.
Taarifa kwa umma iende kwa umma, taarifa kwa taasisi iende kwa taasisi na taarifa kwa mdau wa mpira iende kwa mdau kwa kutumia channel sahihi za mawasiliano kutoka na kwenda TFF, CECAFA, CAF, na FIFA. Wafanyakazi wa TFF kuvujisha taarifa zinazosababisha taharuki kwenye jamii kwa njia za kihuni sio weledi na kunadumaza mpira wetu. Kazi pale TFF sio ya kudumu, iko siku na wewe utaondoka. Unataka watu wakukumbuke kwa lipi?Najua kuna watu watakuja na kuachalenji ushabiki wa Simba na Yanga. Mimi Niko hapa si Simba si Yanga lakini Jemadari Said anaifanya TFF ionekane kikundi cha Wahuni.
Tatizo lako unadhani mpira ni Serikali au taasis ya umma ,hata Fifa vitu vinavyoendelea ukitaka kuvijua unaenda kwenye page za waandishi wabobevu wa habari za michezo unapata tetesi ,mashirikisho ya mpira sio vyama vya siasa jifunze ,hakuna confidentiality unayoitaka haipoTFF ni chombo cha umma na kinachominiwa ndani na nje ya nchi. Jemedari Said anasema kuwa ana uhakika na vyanzo vyake vya habari ambazo zinahifadhiwa TFF. Ni mfanyakazi gani ndani ya TFF ambae anampa Jemedari habari binafsi za watu na taasisi zinazozua taharuki kwa umma? Tuna wasiwasi na TFF na hatuna imani nayo kwenye hili, Kwanini kwa mfano habari za Juma Mgunda na Nabi zianze kumfikia Jemedari kabla ya umma wa wanamichezo na badala ya taasisi zenyewe?
Unataka kuwasafisha hao KICHEFUCHEFU ukiwa kama nani wakati kile ni kikundi cha Wahuni waliojificha kwenye kuongoza soka.Najua kuna watu watakuja na kuachalenji ushabiki wa Simba na Yanga. Mimi Niko hapa si Simba si Yanga lakini Jemadari Said anaifanya TFF ionekane kikundi cha Wahuni.
Wee ni Yanga tunakujua, wala usijipe kazi ya kujificha, kuwa huruuu.Najua kuna watu watakuja na kuachalenji ushabiki wa Simba na Yanga. Mimi Niko hapa si Simba si Yanga lakini Jemadari Said anaifanya TFF ionekane kikundi cha Wahuni.