TFF na Jemedali Said wana uhusiano gani?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
TFF ni chombo cha umma na kinachominiwa ndani na nje ya nchi. Jemedari Said anasema kuwa ana uhakika na vyanzo vyake vya habari ambazo zinahifadhiwa TFF. Ni mfanyakazi gani ndani ya TFF ambae anampa Jemedari habari binafsi za watu na taasisi zinazozua taharuki kwa umma? Tuna wasiwasi na TFF na hatuna imani nayo kwenye hili, Kwanini kwa mfano habari za Juma Mgunda na Nabi zianze kumfikia Jemedari kabla ya umma wa wanamichezo na badala ya taasisi zenyewe?

Najua kuna watu watakuja na kuachalenji ushabiki wa Simba na Yanga. Mimi Niko hapa si Simba si Yanga lakini Jemadari Said anaifanya TFF ionekane kikundi cha Wahuni.

Jamaa anatamba kuwa ana vyanzo vya uhakika
 
Ndiyo yule Meneja wa baadhi ya wachezaji aliyepiga picha na mchezaji huku akiwa amevaa kanzu chafu, na miguuni akiwa amevaa yeboyebo chakavu?
Kuwa na heshima kijana mitandao isikutoe ufahamu hata manara alikuwa hana hata hela ya mafuta wanayopaka walemavu alivyokuja simba mo ndo alikuwa anamsaidia kwenye maisha kila mtu katoka mbali acha dharau.
 
Mwambie aache ujinga basi.
 
Unashangaa nn sasa? Tff kama taasisi lazima itoe taarifa kwa umma, hapa lazima ujue kuna waandishi wanafanya habari za kiuchunguzi means wanaingia ndani ya taasisi kutafuta habari, mfn Fabrizio yeye anavyanzo vyake ndani ya taasisi za kimechezo nying sana so hii ni kawaida 2
 
Mimi namshauri Haji Manara aendelee kupiga spana Ili Tff na Bin Kazumari waendelee ku jiaibisha[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Unashangaa nn sasa? Tff kama taasisi lazima itoe taarifa kwa umma, hapa lazima ujue kuna waandishi wanafanya habari za kiuchunguzi means wanaingia ndani ya taasisi kutafuta habari, mfn Fabrizio yeye anavyanzo vyake ndani ya taasisi za kimechezo nying sana so hii ni kawaida 2
style hii ya kujifanya una chanzo cha habari ndani tff kisa aliwakua staff hapo itakuja kumcost.

Hy style amewahi kuitumia dauda akala ban
 
Kuna Mzee mmoja yupo pale Tff sijui ana position gani kwasasa, Kwa muda mrefu alikua mkurugenzi wa ufundi Anaitwa Salum Madadi, Yule Mzee anatokea Pande za kusini kwakina Bin Kazumari nadhani yeye ndie Anaye wafanyia mipango ao vijana wanao tokea pande izo.
Uyu Mzee miaka na miaka yupo pale sijui anakazi gani pale saa nyingine Soka letu alikui Kwa kukumbatia watu kama Hawa.
 
Kuwa na heshima kijana mitandao isikutoe ufahamu hata manara alikuwa hana hata hela ya mafuta wanayopaka walemavu alivyokuja simba mo ndo alikuwa anamsaidia kwenye maisha kila mtu katoka mbali acha dharau.
Kaka sio vizuri kumsagia mtu kunguni kichwani ili afukuzwe kazi. wenye mpira wao nchini ni TFF, kisha CECAFA, CAF na FIFA. Hivyo kwavyovyote vile taarifa ya uhakika kwa 100% kuhusu mpira wetu sisi Tanzania lazima mtu ataipata TFF au CECAFA, CAF au FIFA kupitia TFF au mfanyakazi wa TFF asiyekuwa mwadilifu. Jemedari kudai kuwa anacho chanzo cha uhakika kinachompatia taarifa za mpira na wadau wa mpira wewe haikushitui? Manara kwenye hili anaingiaje? Je, Jemedari haoni kuwa anashirikiana na wahalifu ndani ya TFF kuifanya TFF ionekanake kama kijiwe cha wahuni wasiokuwa na maadili? Yuko tayari kuvitaja hivyo vyanzo vyake vya taafifa za TFF na CAF?
 
Najua kuna watu watakuja na kuachalenji ushabiki wa Simba na Yanga. Mimi Niko hapa si Simba si Yanga lakini Jemadari Said anaifanya TFF ionekane kikundi cha Wahuni.
Taarifa kwa umma iende kwa umma, taarifa kwa taasisi iende kwa taasisi na taarifa kwa mdau wa mpira iende kwa mdau kwa kutumia channel sahihi za mawasiliano kutoka na kwenda TFF, CECAFA, CAF, na FIFA. Wafanyakazi wa TFF kuvujisha taarifa zinazosababisha taharuki kwenye jamii kwa njia za kihuni sio weledi na kunadumaza mpira wetu. Kazi pale TFF sio ya kudumu, iko siku na wewe utaondoka. Unataka watu wakukumbuke kwa lipi?
 
TFF ni chombo cha umma na kinachominiwa ndani na nje ya nchi. Jemedari Said anasema kuwa ana uhakika na vyanzo vyake vya habari ambazo zinahifadhiwa TFF. Ni mfanyakazi gani ndani ya TFF ambae anampa Jemedari habari binafsi za watu na taasisi zinazozua taharuki kwa umma? Tuna wasiwasi na TFF na hatuna imani nayo kwenye hili, Kwanini kwa mfano habari za Juma Mgunda na Nabi zianze kumfikia Jemedari kabla ya umma wa wanamichezo na badala ya taasisi zenyewe?

Tatizo lako unadhani mpira ni Serikali au taasis ya umma ,hata Fifa vitu vinavyoendelea ukitaka kuvijua unaenda kwenye page za waandishi wabobevu wa habari za michezo unapata tetesi ,mashirikisho ya mpira sio vyama vya siasa jifunze ,hakuna confidentiality unayoitaka haipo
 
Najua kuna watu watakuja na kuachalenji ushabiki wa Simba na Yanga. Mimi Niko hapa si Simba si Yanga lakini Jemadari Said anaifanya TFF ionekane kikundi cha Wahuni.
Unataka kuwasafisha hao KICHEFUCHEFU ukiwa kama nani wakati kile ni kikundi cha Wahuni waliojificha kwenye kuongoza soka.
 
Najua kuna watu watakuja na kuachalenji ushabiki wa Simba na Yanga. Mimi Niko hapa si Simba si Yanga lakini Jemadari Said anaifanya TFF ionekane kikundi cha Wahuni.
Wee ni Yanga tunakujua, wala usijipe kazi ya kujificha, kuwa huruuu.
 
Back
Top Bottom