JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Kwann Voda hawajarudi kwenye ligi kubwa namna hii?3 Billioni Na Vilabu Vilikuwa Vinalalamika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann Voda hawajarudi kwenye ligi kubwa namna hii?3 Billioni Na Vilabu Vilikuwa Vinalalamika
Mwaka jana ligi kuu sijui ilikuwa timu gani na timu gani ,walipata si zaidi ya elfu 17 (17,000) ,na tff wanataka mgao humo humo hela hata ya maji ya kunywa wachezaji haitoshi ,hizi timu ndogo zingine zinaambuliwa wakicheza simba na yangaHivi unajua geti collection za baadhi ya timu hata 1M hua hazifiki? Mmkianza mgawanyo unakuta timu inatoka na laki tano! Je wako kama NBC watarudisha vipi pesa zao??
Matumizi tu ya Simba kwa mwaka nadhani ni sawa na thamani waliyoweka NBC ,piga mahesababu Safari zote za ndege ,vyakula na malaziUnataka mtu aweke pesa zaidi ya 2.5 kwa lipi yaani?
Ukiitoa Simba pekee ligi nzima kuna klabu gani ya maana inayotambulika Afrika?
Ligi hii imepata angalau thamani kwa juhudi ya Simba SC.
Hicho kiasi kinastahili kabisa.
Sijawahi kufahamu kama mdhamini mkuu wa ligi naye huwa anakuwa na mgawo wake kwenye gate collection ,maana tff ni lazima ,Kodi ya serikali ni lazima ,viwanja vya ccm ni lazima kulipwa ,halafu tena mdhamini anataka chake ?Asante sana kwa kumbukizi hii! Sasa hapa NBC watarudisha vipi pesa zao?? Timu ndogo za Ligi Kuu,zinapitia changamoto kubwa mno!
Hapo inawezekana NBC wamejiongeza kama tickets zitalipwa kwa mfumo wao basi watafaidikaKuna mdau,alisema kwamba,pesa za timu zote za Ligi Kuu, ziwe zinapitia NBC! Mfano geti collection zote ziingizwe NBC,then ndiyo timu husika wapewe chao,tff,Baraza la Michezo,CCM, na taasisi nyingine zinazohusika! Ili zile tozo la transaction ziweze kubaki kwao NBC
Hao ndio wabongo mkuu,tena ukizama ndani zaidi ni kwa sababu mdhamini nembo yake ni red,watz akili zao ni ndogo sna,bora mi nipo mpakani na nchi jirani,wenzetu wanajitahidi sna,hawana arguments za ajabu ajabu kama zetuligi imeanza na ilikuwa inaenda bila na mdhamini kujitokeza.. amejitokeza mdau kwa dau ndogo bado unalalamika?
heri kuwa na 0 Tsh ya udhamini au kuwa na 2.5b Tsh?
Jamani njooni mmuone mbumbumbu na mjinga anaeshindwa kuficha ujinga wake hadharani.Tatizo la demokrasia ni kuruhusu wajinga kuongea na tuwasikilize
Point of correction
Simba ndio iliyofanya ligi kuwa juu sio Tff
Mkuu lengo la NBC ni kujitangaza, watu tulishaanza isahau hii bank kwahiyo kwa kudhamini hii ligi watu mtaanza kuitumia tena hii bankAsante sana kwa kumbukizi hii! Sasa hapa NBC watarudisha vipi pesa zao?? Timu ndogo za Ligi Kuu,zinapitia changamoto kubwa mno!
No sio mdhamini anataka chake bali atataka kila kinachopatikana kinapitia kwake yaani tff, vilabu nk wawe na akaunti NBC, sasa mdau ndio kasema timu zinapata 17000 kama gate collection hata ikipitia NBC bado ni ngumu kwa NBC kufaidikaSijawahi kufahamu kama mdhamini mkuu wa ligi naye huwa anakuwa na mgawo wake kwenye gate collection ,maana tff ni lazima ,Kodi ya serikali ni lazima ,viwanja vya ccm ni lazima kulipwa ,halafu tena mdhamini anataka chake ?
Zawadi za mabingwa, wa pili na kuendelea mchanganuo wake kwa mini wanauficha!!??Umekurupuka.
Mbona inaeleweka kuwa ni 2.5B kwa mwaka huu wa kwanza.
Mkataba upo open kwa mazungumzo kati ya pande zote kwa miaka miwili iliyobaki ( kiasi chaweza kuongezeka)
Ligi ya Tanzania inakosa msisimko kwa sababu kila mdhamini anataka either Simba au Yanga kutwaa ubingwa, they don't care kuhusu timu zingine.Habarini Za Wakati kama Huu…
Vilabu vyetu vinavyoshiriki Ligi kuu Tanzania Bara huwa vinahangaika sana kwenye kuhakikisha Ligi Yetu Inakuwa Bora na Yenye kusisimua, Haya huonekana Wakati wa Usajiri na wakati wa Maandalizi ya Msimu Mpya. Wamekuwa Wakihangaika Sana kutafuta wadhamini na Wadau mbalimbali kuhakikisha Timu inakuwa imara na yenye ushindani Lengo likiwa ni Kuifanya ligi yetu kuwa bora.
Kupitia Haya Vilabu vimefanikiwa sasa ligi Yetu inashika Nafasi ya 8 afrika kwa Ubora.
Je TFF wanafanya nini Kuhakikisha kuwa Ligi yetu inazidi kuwa Bora, kubwa na yenye kuvutia? Ni kuendelea kutafuta wadhamini.
Lakini Najiuliza ni KWANINI TFF imekubali Udhamini Wa Tsh 2.5 Billioni Tuuuu… Kwa Level ya Ligi yetu ilipofikia, Kumpokea mdhamini wa 2.5 Billioni Ni Kuidharirisha Ligi yetu na Kuto itakaia Mema.
Niwe Muwazi Nilipo anza kusikia Tetesi kuwa NBC anaenda Kuwa Mdhamini nilijua Tuu hapa hamna Pesa Ni Porojo. Haiwezekani Mdhamini wa Ligi kwa Miaka 3 akaweza 2.5 Billioni kwa Vilabu Karibia 16 huku ni kurudisha Nyuma Ligi yetu na Kutokuitakia Mema Ligi Yetu.
Kiukweli TFF mnahusika Kwa Asilimia 100 kuihujumu Ligi Yetu. 2.5 Billioni Kumbe hata Vunja Bei, Clouds, Wasafi na Wengine wangeweza kuweka Hilo dau na Zaidi.
Swali Ni je TFF mlikosa Mdhamini wa zaidi ya 2.5 Billioni? Au vigezo vyenu ni vipi katika hili? Mnafikiria hali halisi ya Tanzania na vilabu vyake na Ligi ilipofikia? Mbona Azam Aliweka Pesa ndefu kila mtu akanyanyua mikono juu?
Ifike pahala sasa TFF uchaguzi wake uwe unafanywa na vilabu na wadau wa soka ili tupate viongozi wenye akili wanaoweza Kuifikisha ligi yetu pahala fulani.
Kama Ligi Ina Mdhamini wa 2.5 Billioni unategema Kuna Club itakuja kutoka na kusajiri Mchezaji wa Zaidi ya 2.5 Billioni au hata Wa 1 Billioni?
TFF na NBC mmetupiga na kitu Kizito Kichwani wapenzi wa mpira wa miguu Tanzania.
Karia OUT
Hata kwenye ligi zingine kubwa duniani zawadi za mshindi huwa ndogo kuliko bajeti.Zawadi ya mshindi wa kwanza haifikii hata bajeti ya hizi timu kongwe ktk uendeshaji kwa msimu mzima
Tatizo ndio linaanza hapo
Azam kafanya hayo kupitia mkataba alioingia na Tff wakuonyesha mechi za ligi, hivyo hata timu ndogo zitapata kitu.Ni muhimu kuwa na udhamini mkubwa kwenye ligi maana unamfaidisha mpaka mwenye uwezo mdogo kifedha. Ni muhimu kuwafikiria wadogo na kuwapigania ili ushindani uwiane