TFF na NBC hazijawatendea haki wapenzi wa mpira wa miguu Tanzania

Aisee JF kuna misumali!!.. Huwezi amini unaweza kukutana na Nondo namna hii!!.. Asante Mtanzania Mwenzangu Kwa Maoni haya mazuri sana!!..Kazi iendelee
 
NBC imefilisika?!!!...Wewe Ndugu hata hujui unacho Ongea!!!..
Bro wewe ndo hujui hawa walikuwa master bank wa kampuni nayofanya kazi.
Kampuni ya kimataifa. Zaifi ya wafanyakazi 5000.Waliferi,ukienda atm hazina pesa,mikopo wakasitisha,nikama local bank flani uswahili mwingi.
Tukajisepea NMB na Ecobank pamoja na CRDB.
 
Wewe hujui lolote kuhusu mifumo ya fedha za Nchi hii!!..wewe unaongelea miaka 1990 wakati tupo 2021!!.. National Bank of Commerce ifilisike kweli!!..Tupo uchumi wa Kati alafu benki yetu ya Taifa ya Biashara imefilisika!!!..Hebu Acha Uongo
 
Wewe hujui lolote kuhusu mifumo ya fedha za Nchi hii!!..wewe unaongelea miaka 1990 wakati tupo 2021!!.. National Bank of Commerce ifilisike kweli!!..Tupo uchumi wa Kati alafu benki yetu ya Taifa ya Biashara imefilisika!!!..Hebu Acha Uongo
Kama unajua mambo, sema nyinyi munaimiliki kwa asilimia ngapi,nakaburu anamiliki kwa aslimia ngapi.
 
Tujifunze kuridhika ata kwa kidogo tunachokipata.Hadi kupatikana huyo jua kuna watu wamepambana kumpata.Toka ligi imeisha hadi sasa inaanza ndo mdhamini anapatikana bado unaona hii ligi ni kubwa kiasi chakubeza ela aliyotoa Nbc..tena mdhamini mwenyewe ukiangalia vizuri ni dhahiri Tff ndiyo inayemuhitaji zaidi kuliko yeye kuhiitaji Tff na ligi yake.Hii ligi bado ni ndogo sana kuanza kujifanya matawi makubwa.Kwahiyo ata hichi cha Nbc nichakushukuru maana ingekua aibu kua na ligi isiyo na mdhamini wakueleweka.
 
Hali ngumu wapi.. katazame financials za CRDB na NMB kisha urudi hapa.

Umeona makusanyo ya TRA juzi. Unasemaje hali ngumu.
Acha kuwaza kwa mihemko.maana inaonekana unawaza makusanyo tu ila matumizi hutaki kujua.
 
Nje ya mada kidogo. Kwa nini EPL haina title sponsor?
 
ligi imeanza na ilikuwa inaenda bila na mdhamini kujitokeza.. amejitokeza mdau kwa dau ndogo bado unalalamika?

heri kuwa na 0 Tsh ya udhamini au kuwa na 2.5b Tsh?
Achana naye huyo voda wenyewe waliweka 1billion tu kwa mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…