TFF na TAKUKURU waangalie hili suala la upangaji wa matokeo linalofanywa na Yanga wakishirikiana na washirika wao Singida Big stars

Nendeni kwenye website ya FIFA ripoti ligi ifungiwe hiyo....
 
Hehehehehehehehehe!!!!!!!!
 
Halafu hayo magoli ya vyura umeyaona sasa,ndio maana hawa wajuba kimataifa hawatoboi,maelekezo ni mengi sana

Mtu anapiga header peke yake wachezaji wa timu pinzani hata hawajigusi hata kuzuga kwa kuruka tu.

Halafu mbaya zaidi mpira umeisha michezaji ya SBS inatabasamu,yaani,hawaoni huzuni ya kupoteza wakati wangefungwa na Simba malalamiko ya Simba kubebwa yangekuwa ya kutosha tu
 
Wakati camara na kijili wanajifunga mlikuwa wapi nyie walalamikaji uchwara

Trash🚮
 
Suala la Yanga kupanga matokeo halina utatuzi. Bahati mbaya uongozi wa Simba unajisikia unyonge kukusanya ushahidi na kulikemea. Siku wakifanya hivyo ndio namlaka zitajifanya kustuka
 
Sasa Simba wanakicheza nini cha maana
Simba unavyowaona wanashinda kwa tabu kwa kuwa kila timu inaikamia hasa zile 7 zinazodhaminiwa na gsm
Matokeo yake hili linawakomaza kwani wameshajua kila mechi kwao ni kama fainali,ndio maana kimataifa wanafanya vyema.
 
Kwa timu gani hasa walizokutana nazo huko mnakokuita kimataifa
 
Suala la Yanga kupanga matokeo halina utatuzi. Bahati mbaya uongozi wa Simba unajisikia unyonge kukusanya ushahidi na kulikemea. Siku wakifanya hivyo ndio namlaka zitajifanya kustuka
Simba ndio timu inayoongoza kwa ushindi wa magumashi,, Fanya utafiti utajua ni timu Gani malalamiko yamekuwa mengi kwake,,sasa huo uongozi tunaousema sijui ni upi utaojitokeza wakati viongozi wenu ndio vinara wa kupanga matokeo!
 
Hii ni mbaya kuliko kitu kingine kwenye soka

Nigeria football iko hoi because of this
 
Suala la Yanga kupanga matokeo halina utatuzi. Bahati mbaya uongozi wa Simba unajisikia unyonge kukusanya ushahidi na kulikemea. Siku wakifanya hivyo ndio namlaka zitajifanya kustuka
Sio unyonge kukusanya ushahidi bali hakuna ushahidi, kama mnaona uongozi wenu wa Simba ni wanyonge basi nyie kama wadau wa soka mnauwezo wa kukusanya ushahidi na kufungua kesi kwenye ngazi husika ili hatua zichukuliwe haikatazwi hilo. Sio mnapiga piga kelele mtandaoni na kuishia kuchafuana bure wakati vyombo vya sheria zipo na rushwa na upangaji wa matokeo hairuhusiwi katika mpira wa miguu na ndio maana Juventus ilishushwa daraja. Pelekeni ushahidi wenu kwenye vyombo husika
 
Nyie simba mnataka muwe mnafungwa pekeyenu na Yanga acheni wivu basi
 
Huu ujinga watakupiga mawe tu ila kiukweli kuna viashiria vyote vya upangaji matokeo..hebu angalia goli alilofunga Dube Asiki anagairi kuruka baada ya kujua kwamba nyuma yake kuna Dube anafunga

Na hili lilishaonekana hata kabla ya mechi hata ukitembelea page ya Singida BS kuna kaujinga walaikapost...TFF kuweni makini na Hawa watu
 
Ushahidi upo, wawekeze kuutafuta. Yanga inapanga matokeo
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…