TFF na TAKUKURU waangalie hili suala la upangaji wa matokeo linalofanywa na Yanga wakishirikiana na washirika wao Singida Big stars

Bila ya kupepesa macho suala lililifanywa hivi leo na Singida Black stars linaonesha viashiria vyote vya upangaji wa matokeo katika ligi kuu ya NBC nchini Tanzania.

Yaani Singida BS wameanza na kikosi kwa kuweka nje nyota wake wote wapya ww kimataifa huku wakianza wachezaji wenye viawango vidogo na kawaida ili kuwarahisishia ushindi timu ya Yanga ,ishike usukani wa ligi kuu.

Bodi ya Ligi, TFF na TAKUKURU Waingilie kati sakata hili. Mbona Singida Black stars wakicheza na Simba na Azam huwa wanakamia sana mechi na kuanzisha strong first eleven tofauti na wakicheza na timu yenye vinasaba nao , Dar Young Afirika?

Kulikuwa na ulazima wowote wa mshambuliaji wa kimataifa wa Ghana Jonathan Sowah kukaa benchi?

Je kulikuwa na sababu gani ya Arthur ,imoro,chukwu n.k kukaa benchi dhidi ya Yanga?

Na tumeshuhudia first half jinsi walivyoiachia Yanga ipate goli mbili na kuifanya mechi kuwa imeisha.
TFF na TAKUKURU waanzie na goli alilojifunga Kelvin Kijiri(Simba vs Yanga),wafatie lile la Kamara aliyerudisha mpira uwanjani(Simba vs Yanga) Baadaye iangaliwe mechi ya Simba na Tabora UTD uchunguzi ungejumuisha na Yanga na Singida
 
Bila ya kupepesa macho suala lililifanywa hivi leo na Singida Black stars linaonesha viashiria vyote vya upangaji wa matokeo katika ligi kuu ya NBC nchini Tanzania.

Yaani Singida BS wameanza na kikosi kwa kuweka nje nyota wake wote wapya ww kimataifa huku wakianza wachezaji wenye viawango vidogo na kawaida ili kuwarahisishia ushindi timu ya Yanga ,ishike usukani wa ligi kuu.

Bodi ya Ligi, TFF na TAKUKURU Waingilie kati sakata hili. Mbona Singida Black stars wakicheza na Simba na Azam huwa wanakamia sana mechi na kuanzisha strong first eleven tofauti na wakicheza na timu yenye vinasaba nao , Dar Young Afirika?

Kulikuwa na ulazima wowote wa mshambuliaji wa kimataifa wa Ghana Jonathan Sowah kukaa benchi?

Je kulikuwa na sababu gani ya Arthur ,imoro,chukwu n.k kukaa benchi dhidi ya Yanga?

Na tumeshuhudia first half jinsi walivyoiachia Yanga ipate goli mbili na kuifanya mechi kuwa imeisha.
Kawe kocha wewe uwe unapanga kikosa bora cha kuifunga Yanga
 
Simba ndio timu inayoongoza kwa ushindi wa magumashi,, Fanya utafiti utajua ni timu Gani malalamiko yamekuwa mengi kwake,,sasa huo uongozi tunaousema sijui ni upi utaojitokeza wakati viongozi wenu ndio vinara wa kupanga matokeo!
Simba ya yenyewe inadhaminiwa na GSM na wanapanga matokeo Yanga Ishinde dhidi yao
 
Hii kwa simba ndio nzuri sana, maana kama tunavyoona club bingwa na shirikisho tunavyotawala, hawa siku wakija kustuka Simba ameshaleta kombe ndio nao watakavyozinduka. Yuke kocha aliongea ukweli watu wakamzodoa
Mnatawala Club bingwa na Shirikisho nyie ni Al Ahly na RS Berkane?🤣🤣🤣
 
Halafu hayo magoli ya vyura umeyaona sasa,ndio maana hawa wajuba kimataifa hawatoboi,maelekezo ni mengi sana

Mtu anapiga header peke yake wachezaji wa timu pinzani hata hawajigusi hata kuzuga kwa kuruka tu.

Halafu mbaya zaidi mpira umeisha michezaji ya SBS inatabasamu,yaani,hawaoni huzuni ya kupoteza wakati wangefungwa na Simba malalamiko ya Simba kubebwa yangekuwa ya kutosha tu
We kimataifa umetoboa nini? Au umetoboa uwanja baada ya kuuchoma.moto south Africa? Una medali ya CAF?
 
Naunga mkono hoja pia tff na takukuru waitazame yanga vs simba kuna upangaji wa matokeo..

Haiwekani timu kubwa kama Simba kufungwa mechi nne mfululizo, kuna dalili ya vinasaba.
Hili hata muhasibu okwi BOBAN SUNZU analijua.
Hilo nalo liko wazi .Chama , Baleke , Inonga ni ushahidi tosha. Mechi ya mwisho simba vs Yanga baada ya kuona mambo ni magumu Kayoko akalambishwa chake , akaimaliza mechi.
 
Bila ya kupepesa macho suala lililifanywa hivi leo na Singida Black stars linaonesha viashiria vyote vya upangaji wa matokeo katika ligi kuu ya NBC nchini Tanzania.

Yaani Singida BS wameanza na kikosi kwa kuweka nje nyota wake wote wapya ww kimataifa huku wakianza wachezaji wenye viawango vidogo na kawaida ili kuwarahisishia ushindi timu ya Yanga ,ishike usukani wa ligi kuu.

Soma Pia: FT | Yanga 2-1 Singida Black Stars | NBC Premier League | KMC Complex | 17.02.2025

Bodi ya Ligi, TFF na TAKUKURU Waingilie kati sakata hili. Mbona Singida Black stars wakicheza na Simba na Azam huwa wanakamia sana mechi na kuanzisha strong first eleven tofauti na wakicheza na timu yenye vinasaba nao , Dar Young Afirika?

Kulikuwa na ulazima wowote wa mshambuliaji wa kimataifa wa Ghana Jonathan Sowah kukaa benchi?

Je kulikuwa na sababu gani ya Arthur ,imoro,chukwu n.k kukaa benchi dhidi ya Yanga?

Na tumeshuhudia first half jinsi walivyoiachia Yanga ipate goli mbili na kuifanya mechi kuwa imeisha.

Tukiacha ushabiki na kuongelea uhalisia;
Naamini kila mchezaji aliyesajiliwa kwenye timu ameonekana kuwa na sifa za kucheza kwenye klabu husika kwani mchezaji akionekana kuwa na kiwango cha chini, huachwa au hukodishwa au huuzwa; hii ina maana ,wote walio baki wana sifa na haki ya kucheza; Kocha ndiye anakuja na mpango kazi wake na ndio sababu anaitwa mwalimu.

Sasa kwa ushabiki wetu wa Simba na Yanga wa kututoa kwenye uhalisia na kuanza kumpangia kocha wa klub ambayo (hata huchangii chochote/sio mwanachama) eti ipange wachezaji unao taka wewe; nafikiri tuna ruka mipaka
Nafikiri tuachie makocha wafanye kazi yao na kama mtu anafikiri ukocha ni rahisi kama kucheza bao; mbona timu ni nyingi tu, aombe hata kocha msaidizi kwenye moja ya klabu au hata timu ya mkoa ili atuoneshe jinsi ilivyo rahisi kushinda mechi?
 
We kimataifa umetoboa nini? Au umetoboa uwanja baada ya kuuchoma.moto south Africa? Una medali ya CAF?
We nawe kakojoe ukalale,usijifananishe kimataifa na mimi,we dhamini timu za kipumbavu za bongo uendelee kujipangia matokeo,kule kwa wakubwa wenzetu hupawezi
 
Mbona unazunguka, una medali ya CAF au kuishia robo fainali ndio mafanikio yako Kolo? Na sisi Yanga tuliocheza Fainali Mwaka.Juzi tuseme nini kaka wewe wa robo unajisifu namna hii?
 
Yaani ni hv,sisi hv ni vitu vyetu vya kawaida,ila nyie inaonekana mlibahatisha ndio maana mwaka huu mapema tu pumba na mchele vimejulikana,sindano zimeonekana effects zake baada ya kuanza kuangaliwa kwa jicho la jirani
 
Mashindano uliopo wewe mwaka huu ni mbingu na Ardhi na aliyokuwepo yanga acha kujifanya unalinganisha Pumba na mChele...upo Looser sisi tulkuwa CHampions
 
Naunga mkono hoja pia tff na takukuru waitazame yanga vs simba kuna upangaji wa matokeo..

Haiwekani timu kinwa kama Simba kufungwa mechi nne mfululizo, kuna dalili ya vinasaba.
Hili hata muhasibu okwi BOBAN SUNZU analijua.
Trhe 8 yanga atafungwa
 
TFF na Takukuru wangeanza kuchunguza mechi ya Simba vs Yanga maana hata hiyo ya tarehe 8 Simba atafungwa pia akicheza sana atazuia mkwaju maana sare akifungwa atakua kafungwa mechi tano consecutive yaani zinazofatana..
 
Back
Top Bottom