TFF onesheni makucha yenu kwa Feitoto

TFF onesheni makucha yenu kwa Feitoto

Sasa huyu kama ndo angekuwa mfungaji bora na timu yake ingebeba hayo makombe yote mawili si tungekiona!! nafikiri tungeishi kwa tabu sana...😂

Kupata penati tu tukazibwa mdomo!,mambo yalipoharibika akalala mbele! sidhani hata kama anajua maana ya michezo!
Hahahahaha ,Wachambuzi wanasema ni mchezaji mfano wa kuigwa kwa wachezaji wa ndani..anastahili MVP ,Hahahahaha
 
Naunga mkono hoja huyo dogo ana tabia za kike sana anastahili kuadhibiwa tujalie timu nzima ya Azam ingegomea medali je ingekuwa sawa? Tuache kuleta tabia za kipuuzi.
Fei ni tishio !
 
Kakojoe ulale dogo. Fei ni untouchable! Kama unataka kuona kucha za karia nenda tff pale akuoneshe kucha zake za mkononi.
 
TFF tuliwaasa kulea madhambi na kuacha weledi na kuingiza siasa kwenye football hamkutusikia, kijana alikumbia mkataba akahongwa, akashindwa kesi TFF mkaingiza siasa labda na woga mkataba ukavunjwa na kila mwenye akili timamu alishangaa.

Jana amepuuza protokali za mchezo wa final wa kila mchezaji kuvalishwa medali ya dhahabu au shaba lakini yeye akawadharau TFF akaona medali ni kama ushuzi tu.

Mlimfungia Manara Kwa kuzozona na Rais wa TFF, mkamfungia aliyekuwa Mwenyekiti wa Tabora, mlimfungia Mwakalelebela mkamfungia Nyoso alivomtia dole la kati John Boko n.k Swali ni je, huko Kwa mtoto wa kizimkazi mtamfunyaje? Nyie TFF mlivo waoga? Bila shaka mtakaa kimya.

Itakuwaje mkimwalika Rais wa FIFA avalishe medali then wachezaji wasuse kama alivofanya huyo asiyeguswa wa huko kizimkazi. Mtaiweka wapi aibu?

Sio uanamchezo huo kudharau protokali za mchezo wa final. Kufungwa ni sehemu ya mchezo, ukifungwa kubali na wewe ipo siku utamfunga mwenzako nae atakupa heshima kama guard of honor n.k wanafanya vile sio wajinga ni uanamichezo.

Kwa kifupi nimemdharau.
Hao tff nao Bure kabisa, fei alishindwa vipi kesi nyepesi ile
 
Back
Top Bottom