Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Dube ameshindwa vip.Hao tff nao Bure kabisa, fei alishindwa vipi kesi nyepesi ile
Utopolo mna kazi! M'mesha kuwa mabingwa, bado furaha yenu haijakamilika, kwa vile Fei hajavaa medaliii?
Duniani kote kuna wachezaji na makocha wenye ego ,pep hauwezi kumvalisha medali ya mshindi wa pili ,special one ndio hataki kusikia ,CR7 hii kitu haiwezi kupita shingoni mwake,kwao mshindi ni mmoja tu,FEI MASTER CLASS kafanya jambo la kawaida kwa footballer .TFF tuliwaasa kulea madhambi na kuacha weledi na kuingiza siasa kwenye football hamkutusikia, kijana alikumbia mkataba akahongwa, akashindwa kesi TFF mkaingiza siasa labda na woga mkataba ukavunjwa na kila mwenye akili timamu alishangaa.
Jana amepuuza protokali za mchezo wa final wa kila mchezaji kuvalishwa medali ya dhahabu au shaba lakini yeye akawadharau TFF akaona medali ni kama ushuzi tu.
Mlimfungia Manara Kwa kuzozona na Rais wa TFF, mkamfungia aliyekuwa Mwenyekiti wa Tabora, mlimfungia Mwakalelebela mkamfungia Nyoso alivomtia dole la kati John Boko n.k Swali ni je, huko Kwa mtoto wa kizimkazi mtamfunyaje? Nyie TFF mlivo waoga? Bila shaka mtakaa kimya.
Itakuwaje mkimwalika Rais wa FIFA avalishe medali then wachezaji wasuse kama alivofanya huyo asiyeguswa wa huko kizimkazi. Mtaiweka wapi aibu?
Sio uanamchezo huo kudharau protokali za mchezo wa final. Kufungwa ni sehemu ya mchezo, ukifungwa kubali na wewe ipo siku utamfunga mwenzako nae atakupa heshima kama guard of honor n.k wanafanya vile sio wajinga ni uanamichezo.
Kwa kifupi nimemdharau.
Acha uongo juzi tu fainal ya fa kafungwa na man u na medal ya mshindi wa pili pep kaenda kuvaaDuniani kote kuna wachezaji na makocha wenye ego ,pep hauwezi kumvalisha medali ya mshindi wa pili ,special one ndio hataki kusikia ,CR7 hii kitu haiwezi kupita shingoni mwake,kwao mshindi ni mmoja tu,FEI MASTER CLASS kafanya jambo la kawaida kwa footballer .
Nakubaliana na wewe 100%, lakini nataka niende mbali kidogo. Hili suala sio la Feisal tu na mambo TFF wamelilea kwa muda kwa wachezaji wetu na hata viongozi. Lazima kuwe na sheria kali na adhabu kali na hasa piga fine kipesa bei juu mtu apoteze hata mshahara wa mwezi mpaka miezi miwili, Kuwafungia tu hawajali hawa club ndio inaumia.Feisal anatakiwa atambue kipaji bila nidhamu si lolote na anatakiwa aelezwe wazi uanamichezo ni nini? Nadhani sasa hii ni kazi ya wale wanasheria wa kujitegemea waliomshikia bango wawajibike na hapa pia kumrekebisha maana hiki kinyago mpapure mlikichonga wenyewe.
Alichofanya fei ndo mara ya kwanza kuona kwenye world of footballUta
Utawaweza mbumbumbu
Na Juzi Ronaldo kapiga kombe la mfalme na medali kavaa
Pep hana ujinga huo fainali ya UEFA na Chelsea alivaa medali ya mshindi wa pili hata juzi fainali ya FA.Mourihno Medali alivaa baada ya hapo kaigawa.Duniani kote kuna wachezaji na makocha wenye ego ,pep hauwezi kumvalisha medali ya mshindi wa pili ,special one ndio hataki kusikia ,CR7 hii kitu haiwezi kupita shingoni mwake,kwao mshindi ni mmoja tu,FEI MASTER CLASS kafanya jambo la kawaida kwa footballer .
Sawa masikio ya mazundeRage alikuwa sahihi kuwapa ule ubin wenu wa mbumbumbu