TFF onesheni makucha yenu kwa Feitoto

Hahahahaha ,Wachambuzi wanasema ni mchezaji mfano wa kuigwa kwa wachezaji wa ndani..anastahili MVP ,Hahahahaha
 
Naunga mkono hoja huyo dogo ana tabia za kike sana anastahili kuadhibiwa tujalie timu nzima ya Azam ingegomea medali je ingekuwa sawa? Tuache kuleta tabia za kipuuzi.
Fei ni tishio !
 
Kakojoe ulale dogo. Fei ni untouchable! Kama unataka kuona kucha za karia nenda tff pale akuoneshe kucha zake za mkononi.
 
Hao tff nao Bure kabisa, fei alishindwa vipi kesi nyepesi ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…