TFF onesheni makucha yenu kwa Feitoto

Fei ni Mzazibar, kumbuka TFF ni ya Tanganyika!

Peleka shitaka ZFF.
 
Kwani Fei alifuata vipengele? maana hata yeye alibwagwa TFF kama Dube.
Fei vipengele vilimtaka alipe milioni 100 na mishahara ya miezi mi3, akafanya tatizo yanga wanalazimisha wakae mezani, sasa mezani kufanya nini?
 
Fei vipengele vilimtaka alipe milioni 100 na mishahara ya miezi mi3, akafanya tatizo yanga wanalazimisha wakae mezani, sasa mezani kufanya ni

Fei vipengele vilimtaka alipe milioni 100 na mishahara ya miezi mi3, akafanya tatizo yanga wanalazimisha wakae mezani, sasa mezani kufanya nini?
Mbona mnapenda kujionesha kuwa kichwani ni bila bila.
 
Fei vipengele vilimtaka alipe milioni 100 na mishahara ya miezi mi3, akafanya tatizo yanga wanalazimisha wakae mezani, sasa mezani kufanya nini?
Sasa kwa nini TFF alishindwa mara tatu ina maana hao wanasheria waliso simamia kesi hawakuona hivyo vipengele ? au Dube kwenye Mkataba wake anasema yy na Azam mkataba umeisha au hukuiona ile barua yake, baada ya hapo Azam kaenda TFF kidai haki yake.Sasa alicho fanya Azam n Yanga kina utofauti gani?

Kwani vipengele vya Dube vinasemaje.Kwani Dube si kapewa option baada ya kushindwa kesi na Azam hakuambia aende mezani,ili wajue timu inayo mtaka?

Au kwa kuwa imetokea kwa Yanga,ila kwa Dube na Azam sawa?

Sheria gani zinachagua upande au ndio chuki zako za Yanga.Ila hii ni zamu zamu,ilitokea kwa Fei na Yanga mkacheka,ikaja kwa Dube na Azam same scenario,kesho itakuja hapo kwenu 5imba na itaendelea hivi isipo kemewa na kutugiwa sheria wachezaji watavunja mkataba bila kufuata taratibu na kususa kutumikia mikataba yao.
 
Sasa mimi niichukie yanga ili iweje? Naongea rwality na wala sina mihemuko ya kiushabiki kama wèwe, Azam hawakumtaka dube aje mezani bali afate vipengele vya kuvunja mkataba tu, azam waliweka pesa ndefu endapo atavunja mkataba na ndio kilichomshinda dube
 

Unajua nini maana ya kupeleka ofa mezani? na kupeleka ofa mezani haina maana ndio utakubaliwa bali majadiliano msipo fikia muafaka hamna majadiliano,option itakayo bakia Dube kubaki Azam.

Nyie mlisema Fei tulimuone,ila TFF tukashinda mara tatu, haya sasa Dube yy kadai mkataba wake unaisha 2024 na akadai huo mkataba wa Azam wa uongo na haupo TFF,ww unasema hakufuata utaratibu ,ila Fei ukasema kafuata utaratibu kwa kuweka hela Bank acc bila kuiambia klabu yake halafu unaona alicho fanya Fei sawa na kaonewa ila Dube unaona kukurupuka au kwakuwa yy Mgeni hata akilalamika Mama Kizimkazi hawezi mtetea? Hapa ndipo na kuona una chuki na Yanga SABABU HUJANIPA SABABU WHY UONE SAWA KWA FEI ILA KWA DUBE ALIKURUPUKA. (au alicho fanya Fei na Dube utofauti ni upi).

Hii iliyotokea kwa Yanga na Fei,Dube na Azam kuna siku itatokea kwenu ni swala mda tu.

Huu uhuni sema nyinyi mlichagua upande mkazani Yanga ataumia,haya leo Azam kesho mjiandae.
 
Kwani mama anasemaje kuhusu hili?
 
Tff hawawezi kumchukulia hatua yeyote.wanaogopa simu ya magogoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…