Sio lazima kupunguza timu, bali unaweza kuondoa ushiriki wa timu kwenye mashindano yasiokuwa ya lazima yanayorefusha ligi bila sababu. Pili, bodi ya ligi ipange ratiba kwa kuzingatia hali ya viwanga mechi itakapochezwa na umbali timu itatakiwa kusafiri badala ya kupanga ratiba ya jumlajumla tu (generalization/stereotyping). Yaani unaenda case kwa case. Kwa viwanja vya da es salaam na timu za dar es salaam zisizohitaji kusafiri nje ya mkoani ama zipunguzwe timu kwenye ligi ziwe 12 au ligi ichezwe siku 365 kwa span ya wiki wiki.
kivipi?ushindwe
Hoja yangu hii sio malalamiko ya timu iliyoonewa, bali udodoki wa viongozi wetu wa mpira ambao wanaiga kila kitu kutoka mashirikisho mengine ya mpira bila kuiga pia mazingira yanayosapoti matukio hayo huko kwao.Wakati timu nyingine zinapangiwa ratiba mbovu hamkuona tatizo ila ilipowakuta ndio mkaona tatizo.
MkuuAu TFF iachane na mpira ifanye hata kilimo
Mm napiga nyeto huku napiga debe kituoni, sembuse kupiga nyeto huku nachatMkuu
Huu muda ulioutumia kuchangia ungeenda kupga nyeto@secretarybird anakusubiri
Kindege amepigwa ban?Mm napiga nyeto huku napiga debe kituoni, sembuse kupiga nyeto huku nachat
Pole yake kama n hvyKindege amepigwa ban?
wakati wa Uchebe Simba ilikuwa inacheza kila baada ya siku mbili hatukusikia malamiko, Simba ilitoka kucheza na Wydad Morocco kufika ikaenda Lindi kucheza na Namungo kwenye ligi baadae na Azam nusu fainali ya shirikisho Mtwara ndani ya wiki hatukusikia malalamiko, Simba tena ilitoka Morroco ikaunganisha Kigoma kucheza na Mashujaa shirikisho hatukusikia malalamiko.Hoja yangu hii sio malalamiko ya timu iliyoonewa, bali udodoki wa viongozi wetu wa mpira ambao wanaiga kila kitu kutoka mashirikisho mengine ya mpira bila kuiga pia mazingira yanayosapoti matukio hayo huko kwao.
Udodoki huu wa viongozi wetu hausaidii mpora wetu kwenye ligi na hata kimataifa kwakuwa unazalisha majeraha mengi kwa wachezaji na matokeo feki kwa mechi zetu.
Timu zina wachezaji 28 na zaidi wacheze wote kama unawachezaji wa kukamilisha idadi kazi ipowakati wa Uchebe Simba ilikuwa inacheza kila baada ya siku mbili hatukusikia malamiko, Simba ilitoka kucheza na Wydad Morocco kufika ikaenda Lindi kucheza na Namungo kwenye ligi baadae na Azam nusu fainali ya shirikisho Mtwara ndani ya wiki hatukusikia malalamiko, Simba tena ilitoka Morroco ikaunganisha Kigoma kucheza na Mashujaa shirikisho hatukusikia malalamiko.
unaweza kuwa na pointi lakini kama kipindi kile uliona ni sawa kwa Simba basi mtakuwa mnadeka.