TFF tusomeeni upesi sana hiyo barua iliyofika mchana huu kwa DHL ili Wanasimba tujimwage mitaani

TFF tusomeeni upesi sana hiyo barua iliyofika mchana huu kwa DHL ili Wanasimba tujimwage mitaani

Status
Not open for further replies.
Nasikia Harmorapa ndiye anagombea uongozi wa Simba
 
Yaani huyu mwenye mada hii akipimwa akili akakutwa mzima, kampuni iliyotengeneza kifaa cha kumpimia ijiandae maana nitaichoma moto
 
Kuwa kiongozi wa simba ni rahisi sana, maana unao waongoza ni kama misukule akiropoka lolote tu wanafata. Simba akili mmeacha chooni vichwani mmejaza nnya, hivi mnashindwa hata kujiuliza tu kuwa FIFA wawape pointi bila kuihoji TFF. ALIYEWAITA MBUMBUMBU HAKUKOSEA.
 
nyie kweli vilaza hivi iyo kamati in a to a maamuzi bila Tff
simba hawawezi kusikilizwa pasipo ya mshtakiwa ambaye ni TFF kuhojiwa,pia gharama ya rufaa yao bado haijalipwa,so simba labda mkaliibe tu lile kombe mpige nalo maselfii then drop back to them wanajangwan
 
simba hawawezi kusikilizwa pasipo ya mshtakiwa ambaye ni TFF kuhojiwa,pia gharama ya rufaa yao bado haijalipwa,so simba labda mkaliibe tu lile kombe mpige nalo maselfii then drop back to them wanajangwan
maana hakuna jinsi
 
What I know is barua ya simba FIFA inajadiriwa leo j4....!
 
Huna tofauti na mtu anayesema...unaringia gari la mkopo.

Swali kwani mkopo ukiisha gari linakuwa la nani
Hakuna kitu hapo simba hakuna viongozi wa maana kwa barua waliyopewa na tff ya kuwajulisha kupokonywa point hata wakiipeleka fifa hakuna cha kurudishiwa point
 
Kwa huyo umbumbumbu wa viongozi na wanachama wa simba haujaisha?

Ina maana huyo rufaa mliituma Fifa kwa Dhl na mmekaa mnasubiri majibu kwa dhl
 
Fifa wahangaike na ma DHL wakati email mara moja tu kimeeleweka? Kwanini msitumiwe tu taarifa direct bila kupitia tff wakati nyinyi ndio mliotuma barua yenu?
Email zinadukulika.
 
Kombe pekee linalotolewa na FIFA ni kombe la Dunia na kombe la Mabara......Simba mnadai kombe lipi kati ya hayo. Wakati mnasubiri kombe toka FIFA mabingwa wa kihistoria YANGA AFRICA kesho wanatia kibindoni cheki ya mamilioni ya ushindi toka kwa mdhamini wa ligi.
 
Jamani ukiwa safarini kwenye gari binafsi au basi LA abiria kuna ndoto huwa zinaotwa mchana kweupeee!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom