fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Hoja sio rangi nyeupe,mimi mwenyewe ni mweupe,nataka makocha wenye ujuziMpaka uone rangi nyeupe ndo ulizike,mwafrika bhana! Kenge
Timu inacheza bila objecives zozote,hakuna pattern youote unaiona uwanjani,uchaguzi wa wachezaji ni wa kiupendeleo,mpaka watu wapige kelele ndio kocha anabadili na kuchagua wachezaji waliopigiwa kelele,hana msimamo wowote.Fafanua unaandika kama unakimbizwa
Serikali inaonuwezo ndio maana walimuajiri,amunike,adel amrouche shida iko tff na ingawa sina ushahidi,naambiwa mshahara wa huyo morrocco ni sawa na kocha wa kutoka nje,na kwamba akiupokea anamgawia mkubwa mmoja tffBahati mbaya serikali yako na wale wanasiasa waliojazana pale TFF hawana uwezo wa kuajiri kocha mwenye sifa unazozitaka. Isipokuwa wana uwezo wa kuajiri wahamasishaji tu.
Hatahivyo wachezaji wa timu ya taifa wanafundishwa kwenye vilabu vyao ,(individual skills), ujuzi mkubwa wa benchi la ufundi ni kuwatambua wachezaji wazuri na jinsi ya kukipanga kikosi cha kwanza na namna ya kufanya mabadiliko ya wachezaji, (substitutions), na jinsi ya kuisoma timu pinzaniTimu yetu imeshinda kwa bahati na juhudi binafsi za wachezaji wetu,hao makocha wetu wote,hawana ujuzi wala sifa za kuifundisha timu ya taifa.
Ushindi wa jana hakuna ufundi wowote uliooneshwa na makocha.
Ni kweli,ila game plan hutolewa na makocha wa timu ya taifaHatahivyo wachezaji wa timu ya taifa wanafundishwa kwenye vilabu vyao ,(individual skills), ujuzi mkubwa wa benchi la ufundi ni kuwatambua wachezaji wazuri na jinsi ya kukipanga kikosi cha kwanza na namnabya kufanya mabadiliko
Swali fikirishi je mkipiga kelele anasikia? Kama anawasikiliza mpeni maua yake, kazi kubwa ni yakuwapata wachezaji wazuri wenye ujuzi binafsi na wenye nguvu, (drive and energy)Timu inacheza bila objecives zozote,hakuna pattern youote unaiona uwanjani,uchaguzi wa wachezaji ni wa kiupendeleo,mpaka watu wapige kelele ndio kocha anabadili na kuchagua wachezaji waliopigiwa kelele,hana msimamo wowote.
Kuhusu majungu nakubali,uzalendo sina hakika,muhimu kocha pia ni mfano bora kwa wachezaji unapomleta jamhurinambae alitelekeza timu ya fountain gate mwanza,unatoa picha ipi kwa wachezaji wa taifa?Makocha wa Tanzania hasa lile benchi likiongozwa na Morroco wanauzalendo ngozi nyeupe haziumii kabisa halafu zinapigwa majungu haziwezi kutimiza majukumu yao sawa sawia. Bora wabaki haohao
Ni kweli kuwa kaziSwali fikirishi je mkipiga kelele anasikia? Kama anawasikiliza mpeni maua yake, kazi kubwa ni yakuwapata wachezaji wazuri wenye ujuzi binafsi na wenye nguvu, (drive and energy)
TFF ni viziwi kakini watu wa kwanza wa kushauri ni wachezaji wenyewe wanaoshiriki timu ya taifa wanaweza kutoa mrejesho mzuri zaidi kupitia hao wadau wa michezo wafanye huo utafiti wampelekee katibu mkuu, (Msigwa)Ni kweli kuwa kazi ny kuwapata wachezaji wazuri pia ni ngumu,lakini kocha mjuzi,mwenye maarifa na uzoefu wa kucheza mechi za kimataifa,ndiye anatufaa,huyu wetu,ni mhamasishaji,na hana maarifa
Ni wazo zuriTFF ni viziwi kakini watu wa kwanza wa kushauri ni wachezaji wenyewe wanaoshiriki timu ya taifa wanaweza kuto mrejesho mzuri zaidi kupitia hao wadau wa michezo wafanye huo utafiti wampelekee katibu mkuu, (Msigwa)
TFF are slow doers
Rafiki sijakuelewa vizuri hoja yako,uniwie radhi ntashindwa kuchangia kwa mantikiKwahiyo unakubali timu tumpe mgunda
We gunia kweli aisee, sasa hata akiletwa Ancelotti bila juhudi binafsi za wachezaji timu inashinda vipi?Timu yetu imeshinda kwa bahati na juhudi binafsi za wachezaji wetu,hao makocha wetu wote,hawana ujuzi wala sifa za kuifundisha timu ya taifa.
Ushindi wa jana hakuna ufundi wowote uliooneshwa na makocha.
Ndio utamaduni wa football,ila mimi nilianza kutoa maoni mapema mara tu alipochaguliwa huyo kocha wetu kwani hana huo uwezoHivi kwanini hapa Tanzania kila Timu zetu zinapoboronga hua tunawazawaza au kufukuza makocha kabisa ...?