Timu yetu imeshinda kwa bahati na juhudi binafsi za wachezaji wetu,hao makocha wetu wote,hawana ujuzi wala sifa za kuifundisha timu ya taifa.
Ushindi wa jana hakuna ufundi wowote uliooneshwa
Timu yetu imeshinda kwa bahati na juhudi binafsi za wachezaji wetu,hao makocha wetu wote,hawana ujuzi wala sifa za kuifundisha timu ya taifa.
Ushindi wa jana hakuna ufundi wowote uliooneshwa na makocha.
Ndugu yangu, ingekuwa busara na weledi kama ungelipongeza benchi la ufundi la Timu ya Taifa kwa kazi nzuri waliyoifanya kuhakikisha timu yetu inafikia malengo ya kushiriki katika hatua ya makundi ambayo ni kuvuka kwenda hatua nyingine ya mashindano badala ya kulitupia Lawama zisizo na tija benchi hilo.Inawezekana haujaridhishwa na namna ambayo wamefikia malengo lakini uwezi kuondoa ukweli kwamba wametuwezesha Watanzania kutimiza vigezo vya kushiriki AFCON 2025 huko Morocco.Mungu Ibaraki Taifa Stars,Mungu Ibariki Tanzania.
Article.