TFF vunjeni benchi la ufundi la Taifa Stars

TFF vunjeni benchi la ufundi la Taifa Stars

Timu yetu imeshinda kwa bahati na juhudi binafsi za wachezaji wetu,hao makocha wetu wote,hawana ujuzi wala sifa za kuifundisha timu ya taifa.

Ushindi wa jana hakuna ufundi wowote uliooneshwa na makocha.
Huyu jamaa ndo anatoka milembe saivi nasikia, ila wako wanafanya utaratibu arudi kuna dozi hajaimalizia
 
Timu yetu imeshinda kwa bahati na juhudi binafsi za wachezaji wetu,hao makocha wetu wote,hawana ujuzi wala sifa za kuifundisha timu ya taifa.

Ushindi wa jana hakuna ufundi wowote uliooneshwa na makocha.
Unahitaji watu kwenye thread yako tu huna kingine
 
Kwa mpira wanaocheza hata wewe ukiamua kufanya mazoezi unacheza. Hakuna mchezaji ambae unaweza kuamua matokeo mida wowote.

Wengi hawana hata zile basics. Labda ni kwajili ya kukosa mafundisho katika ngazi za kukuza vijana.

Huyu Moroco tutamuonea tu. Cha msingi tupeane morali tu. Maana ushindi wetu unahitaji morali tu.
 
Back
Top Bottom