TFF vunjeni benchi la ufundi la Taifa Stars

TFF vunjeni benchi la ufundi la Taifa Stars

Huyu kocha Hana uwezo mwanzoni alianza na wachezaji wake huku akiacha wazoefu lakini Mambo yalipozidi ndio akawaita wazoefu. Simon Msuva alipigiwa debe toka mwanzo Ila hakumwita na alipomwita katikaechobili kafunga goli mbili.
Kilichotuvusha ni uzoefu wa wachezaji na sio mbinu za kocha .
 
Timu yetu imeshinda kwa bahati na juhudi binafsi za wachezaji wetu,hao makocha wetu wote,hawana ujuzi wala sifa za kuifundisha timu ya taifa.

Ushindi wa jana hakuna ufundi wowote uliooneshwa na makocha.
We ujui mpira kumbe..

taifa stars inavyocheza sasa imebadilika sana sana angalau wachezaji wanaonana na wanajiamini kiasi.

waache haohao benchi la ufundi kwanza lugha wanaongea moja ni rahisi zaidi kuwasiliana..
Morocco na mgunda wanaweza sanasana sema tunawadharau tu..
 
Aliyeisaidia Ivory coast kuchuka kombe katika afcon iliyopita, ni muafrika baada ya timu kufanya vibaya chini ya mzungu.
 
Makocha wa Tanzania hasa lile benchi likiongozwa na Morroco wanauzalendo ngozi nyeupe haziumii kabisa halafu zinapigwa majungu haziwezi kutimiza majukumu yao sawa sawia. Bora wabaki haohao
Ondoa ujinga wako wa Neno Uzalendo wale wote waganga njaa tu mbona hawaendi kufundisha vilabu vya ligi daraja la kwanza kama wana uzalendo Acha Ufwala.
 
Pamoja na Yote hayo unayoyakosoa, lakini Mungu amewapa kibali hao Makocha na timu imepita. Mungu humuweka amtakaye hivyo acheni Majungu nyie wa Tz maana nyie ni Mabingwa wa Kukosoa vya kwenu na kushabikia vya nje.
Ninavyowajua hata angeletwa kocha mkubwa kutoka nje halafu timu isipite najua mlivyo wajinga msingesema tatizo ni kocha ila mngeanza kuwakosoa wachezaji wenu. SIJAWAHI KUONA DUNIANI TIMU INAVUKA KWENDA MASHINDANO MAKUBWA HALAFU ETI WANANCHI WAOMBE KOCHA ALIYEIVUSHA AONDOLEWE, NI Tz tu ndio naiona hii.

Hebu chunguzeni vizuri huenda kuna aina ya bia hapo mnayokunywa inadhoofisha efficiency ya brain.

NCHI INA WAJUAJI HII!!!!!
Mbona Wananchi wamemtimua Gamondi?
 
Ondoa ujinga wako wa Neno Uzalendo wale wote waganga njaa tu mbona hawaendi kufundisha vilabu vya ligi daraja la kwanza kama wana uzalendo Acha Ufwala.
We kichwa panzi hebu nitolee stress zako. Sasa kwa uandishi huo nani mjinga?
 
Timu yetu imeshinda kwa bahati na juhudi binafsi za wachezaji wetu,hao makocha wetu wote,hawana ujuzi wala sifa za kuifundisha timu ya taifa.

Ushindi wa jana hakuna ufundi wowote uliooneshwa na makocha.
kwani makocha ndiyo walikua wanacheza gentleman?🐒

mpaka wanapatikana hao wachezaji wenye juhudi binafsi huoni kwamba hiyo ni juhudi ya kiufundi na umahiri wa makocha gentleman?

makocha walishamaliza kazi yao kambini, uwanjani ni wajibu wa wachezaji kuzingatia mafunzo na kufanya kila lililo ndani ya uwezo wao kuhakikisha ushindi unapatikana.

kinyume na hapo labda unazungumzia ushirikina michezo gentleman 🐒
 
Wivu Pro
 
Hapana mie ushirikina siujui,sikuona any objective football,sikuona tactics zozote uwanjani,sikuona technical directives za mwalimu,kocha wetu uwezo wake ni namungo,geitagold ao mlandege,jana ni juhudi binafsi za wachezaji ndio zimecheza mtanzania mwenzangu
 
Sina hizo mbanga ila ukijaribu unachakaa kwa mtindo ule ule uliokuja nao kuna watu makazini mwetu ni mwendo wa matusi asubuhi mpaka jioni.
Bro sio mie niliekutukana bali mie nawanasihi tu
 
Kocha mzuri unamjua kipindi tu anapofanya sub, hawa wabongo wakifanya tu sub badala ya ku improve performance ya timu, ndiyo wanaiua kabisa🤣
 
Back
Top Bottom