fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
- Thread starter
-
- #21
Sikia usimshike nyoka kiunoni,atakuuma,jifunze staha na kuelewa kwanza nini kinaongelewa ndipo utoe maoniWe gunia kweli aisee, sasa hata akiletwa Ancelotti bila juhudi binafsi za wachezaji timu inashinda vipi?
Wapi timu ikiboronga wanafukuzwa wachezaji?Hivi kwanini hapa Tanzania kila Timu zetu zinapoboronga hua tunawazawaza au kufukuza makocha kabisa ...?
Makocha wengi wanashindwa kufanya maamuzi stahiki kwa wakati sahihi, (Self-centered), pia huwa wanakuwa na maarifa kidogo, jibu la msingi kushindwa kukusanya wachezaji wazuriHivi kwanini hapa Tanzania kila Timu zetu zinapoboronga hua tunawazawaza au kufukuza makocha kabisa ...?
Ha ha bonge la swaliWapi timu ikiboronga wanafukuzwa wachezaji?
Acha kumuingiza Kenge kwenye hii Takataka umbwa weMpaka uone rangi nyeupe ndo ulizike,mwafrika bhana! Kenge
Huwezi kufukuza wachezaji, Timu ndiyo wachezaji....!!Wapi timu ikiboronga wanafukuzwa wachezaji?
kabisa mkuu, Tatizo linaanza na sisi wenyewe, Tunachukua makocha wabovu ..Ndio utamaduni wa football,ila mimi nilianza kutoa maoni mapema mara tu alipochaguliwa huyo kocha wetu kwani hana huo uwezo
Kwanini tusajili makocha ambao wanauwezo mdogo, Halafu badae tunaanza kuwalaumu tena?Makocha wengi wanashindwa kufanya maamuzi stahiki kwa wakati sahihi, (Self-centered), pia huwa wanakuwa na maarifa kidogo, jibu la msingi kushindwa kukusanya wachezaji wazuri
Kuna uwezo wa kwenye makaratasi, (CV), na ujizi binafsi na uzoefu, (life learning skills), binadamu tuko tofauti kiakili, (normal and smart people)Kwanini tusajili makocha ambao wanauwezo mdogo, Halafu badae tunaanza kuwalaumu tena?
Hapo sasa umenijibu mkuu, Kumbe mtu anaweza akawa na CV ila ubunifu binafsi ndio anakua hana ... 🤔🤔Kuna uwezo wa kwenye makaratasi, (CV), na ujizi binafsi na uzoefu, (life learning skills), binadamu tuko tofauti kiakili, (normal and smart people)
Smart- mwenye akili sana anayeweza kutafsiri jambo kwa haraka na kulitolea majibu sahihi kwa muda muafaka, vile vile kocha anatakiwa atafsiri mbinu za mpinzani kwa muda mfupi na kurekebisha makosa
Ila haohao wahamasishaji Mungu kawapa kibali Timu imevuka. Pia pengine angekuwepo kocha mkubwa kutoka nje na timu isipite.Bahati mbaya serikali yako na wale wanasiasa waliojazana pale TFF hawana uwezo wa kuajiri kocha mwenye sifa unazozitaka. Isipokuwa wana uwezo wa kuajiri wahamasishaji tu.
Timu yetu imeshinda kwa bahati na juhudi binafsi za wachezaji wetu,hao makocha wetu wote,hawana ujuzi wala sifa za kuifundisha timu ya taifa.
Ushindi wa jana hakuna ufundi wowote uliooneshwaNdugu yangu, ingekuwa busara na weledi kama ungelipongeza benchi la ufundi la Timu ya Taifa kwa kazi nzuri waliyoifanya kuhakikisha timu yetu inafikia malengo ya kushiriki katika hatua ya makundi ambayo ni kuvuka kwenda hatua nyingine ya mashindano badala ya kulitupia Lawama zisizo na tija benchi hilo.Inawezekana haujaridhishwa na namna ambayo wamefikia malengo lakini uwezi kuondoa ukweli kwamba wametuwezesha Watanzania kutimiza vigezo vya kushiriki AFCON 2025 huko Morocco.Mungu Ibaraki Taifa Stars,Mungu Ibariki Tanzania.Timu yetu imeshinda kwa bahati na juhudi binafsi za wachezaji wetu,hao makocha wetu wote,hawana ujuzi wala sifa za kuifundisha timu ya taifa.
Ushindi wa jana hakuna ufundi wowote uliooneshwa na makocha.
Article.
Pamoja na Yote hayo unayoyakosoa, lakini Mungu amewapa kibali hao Makocha na timu imepita. Mungu humuweka amtakaye hivyo acheni Majungu nyie wa Tz maana nyie ni Mabingwa wa Kukosoa vya kwenu na kushabikia vya nje.Timu yetu imeshinda kwa bahati na juhudi binafsi za wachezaji wetu,hao makocha wetu wote,hawana ujuzi wala sifa za kuifundisha timu ya taifa.
Ushindi wa jana hakuna ufundi wowote uliooneshwa na makocha.
tumpe timu mgunda auRafiki sijakuelewa vizuri hoja yako,uniwie radhi ntashindwa kuchangia kwa mantiki
Mgunda tayari ni miongoni mwa makocha kwenye benchi la ufunditumpe timu mgunda au
Jinsi unavyotoa maoni,aina ya lugha unayotumia,ni taswira yako ilivyo,angalia lugha niliyotumia kuongea jambo hili,ndipo ujipime na wewe utajua wewe ni mtu wa namna ganiPamoja na Yote hayo unayoyakosoa, lakini Mungu amewapa kibali hao Makocha na timu imepita. Mungu humuweka amtakaye hivyo acheni Majungu nyie wa Tz maana nyie ni Mabingwa wa Kukosoa vya kwenu na kushabikia vya nje.
Ninavyowajua hata angeletwa kocha mkubwa kutoka nje halafu timu isipite najua mlivyo wajinga msingesema tatizo ni kocha ila mngeanza kuwakosoa wachezaji wenu. SIJAWAHI KUONA DUNIANI TIMU INAVUKA KWENDA MASHINDANO MAKUBWA HALAFU ETI WANANCHI WAOMBE KOCHA ALIYEIVUSHA AONDOLEWE, NI Tz tu ndio naiona hii.
Hebu chunguzeni vizuri huenda kuna aina ya bia hapo mnayokunywa inadhoofisha efficiency ya brain.
NCHI INA WAJUAJI HII!!!!!
Mimi sitaji jina la kocha bali aje kocha mwenye ujuzi na elimu class A ya euroAje Gamondi aliyewapiga Simba 5