rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
ni kweliIla Shomari Kapombe wa Fadlu ni balaa sio kama baba Ester wa Benchika...hahaha
We ujui mpira kumbe..Timu yetu imeshinda kwa bahati na juhudi binafsi za wachezaji wetu,hao makocha wetu wote,hawana ujuzi wala sifa za kuifundisha timu ya taifa.
Ushindi wa jana hakuna ufundi wowote uliooneshwa na makocha.
hapa hatuongelei kabila,au utaifa tuweke kocha mwenye ujuziAliyeisaidia Ivory coast kuchuka kombe katika afcon iliyopita, ni muafrika baada ya timu kufanya vibaya chini ya mzungu.
Ondoa ujinga wako wa Neno Uzalendo wale wote waganga njaa tu mbona hawaendi kufundisha vilabu vya ligi daraja la kwanza kama wana uzalendo Acha Ufwala.Makocha wa Tanzania hasa lile benchi likiongozwa na Morroco wanauzalendo ngozi nyeupe haziumii kabisa halafu zinapigwa majungu haziwezi kutimiza majukumu yao sawa sawia. Bora wabaki haohao
Mbona Wananchi wamemtimua Gamondi?Pamoja na Yote hayo unayoyakosoa, lakini Mungu amewapa kibali hao Makocha na timu imepita. Mungu humuweka amtakaye hivyo acheni Majungu nyie wa Tz maana nyie ni Mabingwa wa Kukosoa vya kwenu na kushabikia vya nje.
Ninavyowajua hata angeletwa kocha mkubwa kutoka nje halafu timu isipite najua mlivyo wajinga msingesema tatizo ni kocha ila mngeanza kuwakosoa wachezaji wenu. SIJAWAHI KUONA DUNIANI TIMU INAVUKA KWENDA MASHINDANO MAKUBWA HALAFU ETI WANANCHI WAOMBE KOCHA ALIYEIVUSHA AONDOLEWE, NI Tz tu ndio naiona hii.
Hebu chunguzeni vizuri huenda kuna aina ya bia hapo mnayokunywa inadhoofisha efficiency ya brain.
NCHI INA WAJUAJI HII!!!!!
We kichwa panzi hebu nitolee stress zako. Sasa kwa uandishi huo nani mjinga?Ondoa ujinga wako wa Neno Uzalendo wale wote waganga njaa tu mbona hawaendi kufundisha vilabu vya ligi daraja la kwanza kama wana uzalendo Acha Ufwala.
Wewe ni Fwala x1000We kichwa panzi hebu nitolee stress zako. Sasa kwa uandishi huo nani mjinga?
kwani makocha ndiyo walikua wanacheza gentleman?🐒Timu yetu imeshinda kwa bahati na juhudi binafsi za wachezaji wetu,hao makocha wetu wote,hawana ujuzi wala sifa za kuifundisha timu ya taifa.
Ushindi wa jana hakuna ufundi wowote uliooneshwa na makocha.
Wivu ProTimu yetu imeshinda kwa bahati na juhudi binafsi za wachezaji wetu,hao makocha wetu wote,hawana ujuzi wala sifa za kuifundisha timu ya taifa.
Ushindi wa jana hakuna ufundi wowote uliooneshwa na makocha.
wivu wa vipi,kwani mie sio mtanzania?kwamba mie nina makocha wangu? tumeshinda yes lakini timu haichezi kama timu,wanacheza wachezaji binafsiWivu Pro
Hapana mie ushirikina siujui,sikuona any objective football,sikuona tactics zozote uwanjani,sikuona technical directives za mwalimu,kocha wetu uwezo wake ni namungo,geitagold ao mlandege,jana ni juhudi binafsi za wachezaji ndio zimecheza mtanzania mwenzangukwani makocha ndiyo walikua wanacheza gentleman?🐒
mpaka wanapatikana hao wachezaji wenye juhudi binafsi huoni kwamba hiyo ni juhudi ya kiufundi na umahiri wa makocha gentleman?
makocha walishamaliza kazi yao kambini, uwanjani ni wajibu wa wachezaji kuzingatia mafunzo na kufanya kila lililo ndani ya uwezo wao kuhakikisha ushindi unapatikana.
kinyume na hapo labda unazungumzia ushirikina michezo gentleman 🐒
acheni kutukanana jamaniWewe ni Fwala x1000
Sina hizo mbanga ila ukijaribu unachakaa kwa mtindo ule ule uliokuja nao kuna watu makazini mwetu ni mwendo wa matusi asubuhi mpaka jioni.acheni kutukanana jamani
Bro sio mie niliekutukana bali mie nawanasihi tuSina hizo mbanga ila ukijaribu unachakaa kwa mtindo ule ule uliokuja nao kuna watu makazini mwetu ni mwendo wa matusi asubuhi mpaka jioni.
apewe ukocha kabisaMgunda tayari ni miongoni mwa makocha kwenye benchi la ufundi
Hapana mie nashauri tu,sihitaji kazi ya ukochaapewe ukocha kabisa