We nae huna akili, unastahili kupuuzwa,
Ko wew ulitaka nani apewe deal la jersey ya team ya taifa?
Mbna Adidas anafadhili Bayern na National team, ila Dortmund na Puma yao hawalalamiki,
Ipo hivi, hio ni mikataba miwili tofauti, Hela ya kuwapa stars Sandaland ataipata kwa jersey za Stars same na Hela ya kuwapa Simba atazipata huko huko simba kwa jersey za simba,
Kesho na keshokutwa GSM anaweza kuja kuwa supplier wa national team, au Vunjabei akaja nae akawa supplier wa jersey za Yanga na National team,
Au itafika siku GSM atakuwa anasupply kit Simba Yanga, Azam na National team, ko mzee hii kitu ni biashara tu, nothing personal,
Kama hutaelewa hadi hapo mzee, bas