TFF yaahirisha uchaguzi kwa madai ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi kukiuka taratibu

Hii kitu iko hivi kamati ya uchaguzi ina wajumbe watano, wajumbe watatu wakiongozwa na makamu mwenyekiti wa kamati wanataka Malinzi apite bila kufanyiwa usaili Mwenyekiti na mjumbe mwingine wamekataa kwa sababu kanuni inasema mtu asipofika kwenye usaili anaondolewa kwenye uchaguzi. Hapo ndio kuna mushkeli
 
Stupid kwa ushahidi upi
Kwa hiyo TAKUKURU walimdaka na kumtia ndani bila kuwa na ushahidi? Huyu ndiyo kamalizia kuliuwa soka la Tanzania, alikuwa yupo pale kwa maslai ya tumbo lake... Huyu fisadi Malinzi ni lazma anyee ndoo.. Hatuwezi kuvumilia upumbavu kama huu..

Nyie mnaojidanganya FIFA wataifungia Tanzania hilo mlisahau, hata tukifungiwa soka la Tanzania lilisha kufa ni lazma lisukwe upya ndani ya mfumo mwingine wa uongozi..
 

Jazba huwa hazisaidii sana....Tujipange...sayansi itumike kuwaondoa waliopo...Lakini hili la kusubiri uchaguzi unafanyika ndipo wakamatwe na kuwekwa ndani ili wasifanyiwe usaili hapo hakuna sayansi...
 
Hii kesi ya malinzi ningekua mim ndo judge ningeiahirisha mpaka tarehe 25/8 na watuhumiwa warudi rumande...

TAKUKURUA wanapaswa kuanza uchunguzi mara moja kwa hao wajumbe wa kamati
Hili ndio suluhisho na wasiishie hapo, wawakamate wajumbe wote wa hii kamati wakawachunguze tuone huyo jamaa yao atawezaje kuchomoka
 
Ivi kwa nini kila uchguzi mkuu wa tff ukitokea ni zengwe tupu kuna nini hapo karume
 
Hii kesi ya malinzi ningekua mim ndo judge ningeiahirisha mpaka tarehe 25/8 na watuhumiwa warudi rumande...

TAKUKURUA wanapaswa kuanza uchunguzi mara moja kwa hao wajumbe wa kamati
Bahati mbaya sana jaji hawezi kukosa hekima kiasi hicho.
 
Mbona waliiomba mahakama kuwa bado wanaendelea na upelelezi?? Ushahidi hawana, simpo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…