CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
HowNaona wanataka malinzi aendelee kunyea ndoo [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HowNaona wanataka malinzi aendelee kunyea ndoo [emoji23] [emoji23]
Kesi ya malinzi itaahirishwa kisha atanyimwa dhamana ivo yan
Kwa hiyo TAKUKURU walimdaka na kumtia ndani bila kuwa na ushahidi? Huyu ndiyo kamalizia kuliuwa soka la Tanzania, alikuwa yupo pale kwa maslai ya tumbo lake... Huyu fisadi Malinzi ni lazma anyee ndoo.. Hatuwezi kuvumilia upumbavu kama huu..Stupid kwa ushahidi upi
Serikali ijiweke mbali na hili,huu ni mtego wa kiujanja sana
Kwa hiyo TAKUKURU walimdaka na kumtia ndani bila kuwa na ushahidi? Huyu ndiyo kamalizia kuliuwa soka la Tanzania, alikuwa yupo pale kwa maslai ya tumbo lake... Huyu fisadi Malinzi ni lazma anyee ndoo.. Hatuwezi kuvumilia upumbavu kama huu..
Nyie mnaojidanganya FIFA wataifungia Tanzania hilo mlisahau, hata tukifungiwa soka la Tanzania lilisha kufa ni lazma lisukwe upya ndani ya mfumo mwingine wa uongozi..
Wewe ucwe Kichwa kigumu, Mpira Ni ajira vijana wetu watakaba mitaa FIFA watatufungia miaka 4,happy kuna nnSerikali iingilie kati tu, FIFA watufungie maana hatuna tunachofanya na hao TFF
Wewe ucwe Kichwa kigumu, Mpira Ni ajira vijana wetu watakaba mitaa FIFA watatufungia miaka 4,happy kuna nn
Hili ndio suluhisho na wasiishie hapo, wawakamate wajumbe wote wa hii kamati wakawachunguze tuone huyo jamaa yao atawezaje kuchomokaHii kesi ya malinzi ningekua mim ndo judge ningeiahirisha mpaka tarehe 25/8 na watuhumiwa warudi rumande...
TAKUKURUA wanapaswa kuanza uchunguzi mara moja kwa hao wajumbe wa kamati
In manufaa gani, hao wafadhili wanataka ufadhili wao uonekane nje ya nchiWatufungie tu, tutacheza ligi ya ndani
In manufaa gani, hao wafadhili wanataka ufadhili wao uonekane nje ya nchi
Mmmmh[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Labda uniambie tukifungiwa Mbwana anafukuzwa alipo lakini kama ataendelea kucheza huko acha tufungiwe tu
Bahati mbaya sana jaji hawezi kukosa hekima kiasi hicho.Hii kesi ya malinzi ningekua mim ndo judge ningeiahirisha mpaka tarehe 25/8 na watuhumiwa warudi rumande...
TAKUKURUA wanapaswa kuanza uchunguzi mara moja kwa hao wajumbe wa kamati
Serikali imeshaingilia tayariSerikali iingilie kisha FIFA watoe adhabu
Mbona waliiomba mahakama kuwa bado wanaendelea na upelelezi?? Ushahidi hawana, simpo!!!Kwa hiyo TAKUKURU walimdaka na kumtia ndani bila kuwa na ushahidi? Huyu ndiyo kamalizia kuliuwa soka la Tanzania, alikuwa yupo pale kwa maslai ya tumbo lake... Huyu fisadi Malinzi ni lazma anyee ndoo.. Hatuwezi kuvumilia upumbavu kama huu..
Nyie mnaojidanganya FIFA wataifungia Tanzania hilo mlisahau, hata tukifungiwa soka la Tanzania lilisha kufa ni lazma lisukwe upya ndani ya mfumo mwingine wa uongozi..
kutokuelewana kunatokana na nini wakati kanuni zipo na sheria zipo?Hatua ya kuahirisha kuliko kufanya kukiwa na kutokuelewana
Means amewekwa ndani ili asigombee na ni amri kutoka juuKesi ya malinzi itaahirishwa kisha atanyimwa dhamana ivo yan