TFF yaahirisha uchaguzi kwa madai ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi kukiuka taratibu

Mimi nadhani angeongea hivi;- Kutokana na uchaguzi kuingiliwa na baadhi ya wagombea kuwa na kesi mahakamani, nimeonelea uchaguzi uhailishwe mpaka wagombea walishtakiwa wahukumiwe.

Ingekuwa wamekamatwa baada ya usahili kufanyika, na wakaondolewa kwa kukosa sifa basi uchaguzi ungeendelea.

Vilevile wangekamatwa baada ya kupitishwa kugombea, napo uchaguzi ungehailishwa hiyo ndio demokrasia. Wasiingize siasa kwenye michezo, pig up kamati ya uchaguzi huo ndio umoja.
 
Una ushahidi wa uchafu au ni speculations
Madudu ya tff umeanza kuyaskia Leo mkuu? Mambo ya kupanga matokeo rushwa na mengine mengi sasa kutokana na kwamba serikali hairuhusiwi kuingilia masuala ya soka.
Huoni kwamba huu ndo mwanya wa malinzi kupotezwa kupitia mashtaka yanayomkabili!???
 
Ovyo kabisa, kwa nini wasitishe mchakato wa uchaguzi! Ni dhahiri lengo ni Malinzi ashiriki katika uchaguzi huu! Soka la nchi hii ni vigumu sana kuendelea! Sioni sababu ya kusitisha zoezi la uchaguzi wa TFF. Naona watu wanatumia mbinu za Jecha sasa!
Hivi huoni hata kumkamata wametumia mbinu za jecha? Kulikuwa kuna haja gani ya kumkamata kipindi cha uchaguzi, na kumbambikiza mashtaka ya utakatishaji fedha? TFF ni taasisi inayojitegemea sio BMT ile.
 
Hawa wajumbe ndiyo watakao mpoteza fisadi Malinzi, huyu fisadi atapigwa lupango kwa miaka 6 na sijui hao wajumbe wa tff watakuwa wanahairisha uchanguzi au vipi..

Malinzi aliweka wanakamati wake sasa wameona ni bora wamsubirie arudi toka mahabusu. Yaan huu mfumo wa kwenye football ni balaa. Mtu anakuwa Mungu asipokuwepo mambo yanaahirishwa
 
Huu mchezo hautaki hasira, ninadidisi hivi, baada ya "watu" kufanya timing ili mtetezi aondolewe, naye akafanya zengwe ili kamati ijipinge yenyewe(yaani mwenyekigoda na wajumbe wake wako on one mission) ili kamati ya utendaji ipate sababu ya kuahirisha uchaguzi. Hakika fitna za watu wa mpira ni zaidi ya wanasiasa.
 
Kwa habari ambazo nimezipata kutoka chanzo muhimu ni kuwa kile kinachoitwa 'System' kitamlazimisha Jamal ajiondoe kwenye uchaguzi.
 
Hii kesi ya malinzi ningekua mim ndo judge ningeiahirisha mpaka tarehe 25/8 na watuhumiwa warudi rumande...

TAKUKURUA wanapaswa kuanza uchunguzi mara moja kwa hao wajumbe wa kamati
Mjiangalie lakini ile ni TFf sio idara ndani ya wizara ya michezo. Subilini majibu ya FIFA.
 
Pole umehukumu kabisa, kweli Mh Msigwa aliongea, umaskini hauwezi kukuondoka kwa kumchukia tajiri. Pole sana, hakuna kesi pale, ndugu yangu.
 
Na Leo mnafungwa huko S.Africa.

Mpira visaaaaa
 
Yani kuahirisha uchaguzi ni kuendelea kumuweka malinzi ndani manake anatakiwa akae lupango mpaka uchaguz upite [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikitendo cha aibu kumtetea fisad
 
Kama akithibitika afungwe ata miaka mia ila kama akiachiwa basi tujiandae na adhabu ya FIFA kwa maana huwez muweka ndani mwanachama wao bila ya kuwa na ushaidi
 
Mjiangalie lakini ile ni TFf sio idara ndani ya wizara ya michezo. Subilini majibu ya FIFA.
We unaiogopa FIFA? Tena hao FIFA nao wataipongeza serikali kwa kuingilia kati kumdaka huyo fisadi Malinzi...
 
hapana mkuu wajumbe 4 ndiyo wanataka Malinzi apite bila kusailiwa ,Mwenyekiti kagoma ,ndiyo maana jana alipoahirisha kikao hawa wajumbe 4 waliendelea kufanya kikao bila mwenyekiti,na wakaahidi leo kubandika matokeo bila ya idhini ya mwenyekiti wao
 
Kutapambazuka tu.. Hata kama kuna giza nene!
 
mwenyekiti hawezi sema hivyo kwani hawaungi mkono akina MALI INZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…