Heavy Weight
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 888
- 885
TFF Lazima isafishweMeans amewekwa ndani ili asigombee na ni amri kutoka juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TFF Lazima isafishweMeans amewekwa ndani ili asigombee na ni amri kutoka juu
Una ushahidi wa uchafu au ni speculationsTFF Lazima isafishwe
Madudu ya tff umeanza kuyaskia Leo mkuu? Mambo ya kupanga matokeo rushwa na mengine mengi sasa kutokana na kwamba serikali hairuhusiwi kuingilia masuala ya soka.Una ushahidi wa uchafu au ni speculations
Hivi huoni hata kumkamata wametumia mbinu za jecha? Kulikuwa kuna haja gani ya kumkamata kipindi cha uchaguzi, na kumbambikiza mashtaka ya utakatishaji fedha? TFF ni taasisi inayojitegemea sio BMT ile.Ovyo kabisa, kwa nini wasitishe mchakato wa uchaguzi! Ni dhahiri lengo ni Malinzi ashiriki katika uchaguzi huu! Soka la nchi hii ni vigumu sana kuendelea! Sioni sababu ya kusitisha zoezi la uchaguzi wa TFF. Naona watu wanatumia mbinu za Jecha sasa!
Huu mchezo hautaki hasira, ninadidisi hivi, baada ya "watu" kufanya timing ili mtetezi aondolewe, naye akafanya zengwe ili kamati ijipinge yenyewe(yaani mwenyekigoda na wajumbe wake wako on one mission) ili kamati ya utendaji ipate sababu ya kuahirisha uchaguzi. Hakika fitna za watu wa mpira ni zaidi ya wanasiasa.Mimi nadhani angeongea hivi;- Kutokana na uchaguzi kuingiliwa na baadhi ya wagombea kuwa na kesi mahakamani, nimeonelea uchaguzi uhailishwe mpaka wagombea walishtakiwa wahukumiwe. Ingekuwa wamekamatwa baada ya usahili kufanyika, na wakaondolewa kwa kukosa sifa basi uchaguzi ungeendelea. Vilevile wangekamatwa baada ya kupitishwa kugombea, napo uchaguzi ungehailishwa hiyo ndio demokrasia. Wasiingize siasa kwenye michezo, pig up kamati ya uchaguzi huo ndio umoja.
Mjiangalie lakini ile ni TFf sio idara ndani ya wizara ya michezo. Subilini majibu ya FIFA.Hii kesi ya malinzi ningekua mim ndo judge ningeiahirisha mpaka tarehe 25/8 na watuhumiwa warudi rumande...
TAKUKURUA wanapaswa kuanza uchunguzi mara moja kwa hao wajumbe wa kamati
Wanajua walichofanya wao wenyewekutokuelewana kunatokana na nini wakati kanuni zipo na sheria zipo?
Pole umehukumu kabisa, kweli Mh Msigwa aliongea, umaskini hauwezi kukuondoka kwa kumchukia tajiri. Pole sana, hakuna kesi pale, ndugu yangu.Hawa wajumbe ndiyo watakao mpoteza fisadi Malinzi, huyu fisadi atapigwa lupango kwa miaka 6 na sijui hao wajumbe wa tff watakuwa wanahairisha uchanguzi au vipi..
Malinzi aliweka wanakamati wake sasa wameona ni bora wamsubirie arudi toka mahabusu. Yaan huu mfumo wa kwenye football ni balaa. Mtu anakuwa Mungu asipokuwepo mambo yanaahirishwa
We unaiogopa FIFA? Tena hao FIFA nao wataipongeza serikali kwa kuingilia kati kumdaka huyo fisadi Malinzi...Mjiangalie lakini ile ni TFf sio idara ndani ya wizara ya michezo. Subilini majibu ya FIFA.
hapana mkuu wajumbe 4 ndiyo wanataka Malinzi apite bila kusailiwa ,Mwenyekiti kagoma ,ndiyo maana jana alipoahirisha kikao hawa wajumbe 4 waliendelea kufanya kikao bila mwenyekiti,na wakaahidi leo kubandika matokeo bila ya idhini ya mwenyekiti waoHii kitu iko hivi kamati ya uchaguzi ina wajumbe watano, wajumbe watatu wakiongozwa na makamu mwenyekiti wa kamati wanataka Malinzi apite bila kufanyiwa usaili Mwenyekiti na mjumbe mwingine wamekataa kwa sababu kanuni inasema mtu asipofika kwenye usaili anaondolewa kwenye uchaguzi. Hapo ndio kuna mushkeli
mwenyekiti hawezi sema hivyo kwani hawaungi mkono akina MALI INZIMimi nadhani angeongea hivi;- Kutokana na uchaguzi kuingiliwa na baadhi ya wagombea kuwa na kesi mahakamani, nimeonelea uchaguzi uhailishwe mpaka wagombea walishtakiwa wahukumiwe. Ingekuwa wamekamatwa baada ya usahili kufanyika, na wakaondolewa kwa kukosa sifa basi uchaguzi ungeendelea. Vilevile wangekamatwa baada ya kupitishwa kugombea, napo uchaguzi ungehailishwa hiyo ndio demokrasia. Wasiingize siasa kwenye michezo, pig up kamati ya uchaguzi huo ndio umoja.